asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Foleni ya Kongowe - Kibaha leo 12.03.26 ni mbaya sana

    Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi. Sereikali mko wapi? Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu? Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi? Wako wapi wakuu wa...
  2. D

    Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

    Habari ya asubuhi wadau. Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
  3. P

    Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

    Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
  4. comrade_kipepe

    Kesho Mungu saidia niamke asubuhi sana

    Nataka nikatafute suluhu hivi kwanin nakua na tamaa za kijinga sana bora nikajiloge niwe zuuzzuuu nisiwe nataman mbuny
  5. Top Gun

    Tangu asubuhi sijauza hata mia na nipo mjini kati, mambo yangu yanakwama kwa kasi, nachanganyikiwa

    Nakosa hata la kuongea wakuu, aisee!
  6. Mad Max

    KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  7. Waufukweni

    PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  8. N

    PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  9. M

    PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  10. M

    Suzuki swift M13a

    Habari wadau Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari 1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki, 3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser 4. Inatembea umbali mrefu bila...
  11. tonicimmobility

    TAMISEMI yawataka watumishi kuripoti kazini saa 1:30 asubuhi

    Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na kudumu kazini kulingana na kanuni za kudumu za utumishi wa umma. Amesema watumishi wanapaswa kufika...
  12. kyagata

    Nimekula asubuhi viazi vitamu mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari.

    Oya,mko poa? Asubuhi nimekunywa chai ya maziwa na viazi vitamu. Mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari. Nifanyaje?
  13. VictoriaGreenHerbal

    Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari

    Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari… Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari… Hiyo ni hatari kwa afya yako. Asubuhi ya kweli inaanza na heshima kwa mwili wako — kumpa lishe sahihi kabla dunia haijaanza kudai nguvu zako. 🥒 Matango mabichi — kwa detox na ngozi yenye afya 🥕...
  14. R

    Tangu asubuhi sijaona cha kushangaza kwa hawa Utopolo

    Yaani hawa utopolo hawana cha ajabu hata, ukute wanasubiri kwenda kuitikia salamu za mama ndo wanachoweza Mtaani kumepoa sana leo, ila wasijipe moyo kutushtua Mnyama ni mnyama Wanyama tulimaliza kila kitu hatujawaachia nafasi hata moja
  15. Money Penny

    Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  16. VictoriaGreenHerbal

    Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoamka Asubuhi ili Kulinda Afya Yako

    Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

    Hamjambo Wote! Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake. Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja ikanirudisha Mwaka 2015 nilipokuwa Udsm Mwaka wa Pili. Nikiwa na hekaheka, za ujana kukimbizana na kila...
  18. Echolima1

    Mitambo ya nishati ya Haouth imeshambuliwa ikiwemo Haziz power station

    Houthi wapata kichapo cha mbwa-koko huko Yemen. === The IDF struck an energy infrastructure site that was used by the Houthis in Yemen, the military confirmed on Sunday morning. According to the IDF, the strikes were conducted in response to repeated attacks by Houthis against Israel and...
  19. S

    KERO TANESCO Arumeru-Arusha umeme mmeupeleka wapi? Tuko gizani tangia asubuhi, mbn hakuna taarifa?

    Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
  20. A

    KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
Back
Top Bottom