Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari

Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari

Joined
Mar 7, 2025
Posts
65
Reaction score
88

Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari…​

1*NQ1NDjtcx6OWPPx49qheBg.jpeg

Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari…​

Hiyo ni hatari kwa afya yako.
Asubuhi ya kweli inaanza na heshima kwa mwili wako — kumpa lishe sahihi kabla dunia haijaanza kudai nguvu zako.

🥒 Matango mabichi — kwa detox na ngozi yenye afya
🥕 Karoti — zenye Beta–Carotene kwa macho na ngozi
🌶️ Pilipili hoho nyekundu — chanzo kikubwa cha Vitamin C kwa kinga bora ya mwili
🧅 Beetroot — mpiganaji wa kuondoa inflammation mwilini kimyakimya
🥚 Mayai mawili ya kienyeji — protini safi na mtetezi mkuu wa Testosterone ya mwanaume rijali

👉 Huu ndio mlo wa asubuhi unaoweka misingi ya:
✅ Kinga thabiti
✅ Akili safi
✅ Mwili usiotetereka
✅ Afya ya uzazi yenye nguvu

Siri ni moja: Kila asubuhi kabla ya chochote, lishe sahihi hutoa amri ya afya bora.
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako utakuja kunishukuru nimefanya kazi usiku badala asubuhi niweke vitu vitu vya kuchinja asubuhi nianze kula Karoti kwelii
 
Asubuhi ukila matunda tu unaishi kwa taha sana.

USSR
 
Kuna wanaCCM asubuhi ikifika wanaanza kumsifu mama idd amin wakisubiri buku saba la mchana
 
Sidhani kama wachimba mitaro ya TTCL, Wakulima wa jembe, Wachimbaji madini, Wanaomwaga nzege, Wachana mbao na wengine wa kazi ngumu mtaelewana kwa hiyo MENU.
 
Back
Top Bottom