asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Trump ameidhinisha mpango ya kuishambulia Iran

    Breaking News Trump ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, - 19 Juni 2025, 12:30 asubuhi 2 Juni 18, 2025. (Brendan Smialowskyi/AFP) Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia wafanyakazi kwamba ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, lakini...
  2. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio. Tuombe amani Hali ni tete.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SSH, Kiongozi anayetenda mazuri asubuhi ikifika jioni anavuruga kazi yake mwenyewe

    Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani litatokea asubuhi Kanisani kwa Askofu Gwajima ?

    Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa. Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu" Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Gwajima wataendelea kukaa hapo kanisani mpaka asubuhi, basi hakuna haja ya kuendelea kuwa na kamanda wa FFU Dar

    Duniani kote, hata Marekani, unatii kwanza amri ya mamlaka, kama huridhiki nayo kuna hatua za kuchukua. Dar Ina kamanda wa FFU, kama anashundwa kudhibiti kagenge ka watu 200,na haombi msaada mikoa jirani. Aachie kiti hicho apewe anayestahili. Ni hawahawa walienda kyimba central police enzi ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kipindi cha bao la asubuhi cha leo,ni mujarabu

    Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kombola la Ballistic kutoka Yemen lapopolewa asubuhi hii huko Israel

    Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Wahouthi sasa hivi...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  13. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Salamu za asubuhi

    Good morning people Platinums, Experts, Seniors, Members, New members & Guests: Maisha yanaenda kasi sana, wengi tunatamani kuyakamilisha mambo tuliyopanga. Sote tuendapo kulala tunalala tukiwa na tumaini kesho (ambayo ndio leo tuliyoamka) itakuwa njema, tutaamka tena! Siku njema huonekana...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukiamka wahi kuosha tundu za pua zako. Unapolala Shetani huwa anakaa kwenye hizo tundu

  16. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Salamu za asubuhi ni hizi hapa. Mwenye akili na some, machawa piteni tu isiwe shida

    It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi. ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA. Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1 BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila. .Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kumekucha salama! Karibuni kwa sala ya asubuhi, tumshukuru Mungu

    Mungu Baba, umetuagiza katika 1 Thes 5:18 kwamba tushukuru kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi yako kwetu katika Kristo Yesu. Tunakushukuru sasa Baba kwa kutulinda usiku kucha. Tumelala usingizi mnono na kuamka tukiwa na nguvu na uzima. Asante sana Baba kwa neema yako. Endelea kutulinda...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa asema uwekezaji wa bandari ya Malindi Zanzibar una ubadhirifu

    Feb 27, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa atazungumza na waandishi wa habari.Mahala: Ofisi Ndogo za Makao Makuu Vuga ZanzibarMuda: 5:00 Asubuhi https://www.youtube.com/watch?v=hETI2UkrNJ0 Jussa ameeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kueleza kuhusu kashfa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
Back
Top Bottom