askofu

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Askofu Mwamakula acheni kuchapisha mitandaoni habari za uongo

    Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu? Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa wananchi makundi yote, abarikiwe

    Salaam! Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama. 1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea. 2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea. 3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea. Kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Huu sasa si utekaji bali uchukuaji kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda

    "Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Josephat Gwajima: Naukataa ufisadi unaoendelea nchini hadi sasa. Viongozi kujilimbikizia mali na kuwasahau wananchi

    Askofu Josephat Gwajima, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), anatarajiwa kuzungumza leo saa 2:00 usiku. Ameahidi kutoa kauli muhimu kwa taifa na kwa viongozi wake. Gwajima, ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu, sasa anatarajiwa kueleza jambo zito Watanzania wanasubiri kwa hamu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

    Sitashangaa ukute Task Force inapanga kumteka Askofu Yuda Tadei Ruwa'ichi kwa sababu amezungumzia kuhusu utekaji. Adui unayemuweza, usiamuachie Mungu 2910. By Vicensia Shule
  7. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Askofu mkuu Thadeus Ruwaichi anaunguruma muda huu!

    Wakuu, Askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam anatoa tamko muda huu kama Kiongozi wa Tume ya haki na amani TEC. Kupitia TV Tumaini anasema wakati wa kuzungumza ni sasa na hatujachelewa. Amesisitiza sauti ya umma isipuuzwe! Ni katika adhimisho la misa Takatifu UWAKA day.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mhashamu Filbert Mhasi: Nitashangaa sana kama kuna mtu amepita seminari anakuwa CHAWA

    "...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi Mhashamu Filbert Mhasi wakati akitoa mahubiri kwenye masifu ya jioni kuelekea JUBILEI...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga ni Mlutheri lakini amezikwa na Waanglikani

    ..KKKT na Askofu Malasusa wanapaswa kujitafakari. ..Nini kimepelekea Kanisa la Kilutheri likashindwa kumzika Askofu wake? https://www.youtube.com/watch?v=Rk3GA7RIYSs&list=RDRk3GA7RIYSs&start_radio=1 https://www.youtube.com/watch?v=hTavn2pS5iE
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Wolfgang Pisa anamaanisha nini anaposema kabla ya kwenda kupiga kura 'tathmini dhamiri yako'?

    "Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Marehemu Askofu Stephen Munga. Mpenda haki aliyempenda Tundu Lissu toka moyoni

    Mara kwa mara alipokuwa akisali pale Lushoto Cathedral alipomaliza mahubiri alikuwa akiomba Mungu amlinde na kumponya Tundu Lissu. Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu. Haukupenda dhuluma na kujipendekeza
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Chinyon'gole awahimizi wanawake kujitokeza kupiga kura

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga, Johnson Chinyong'ole, amewataka wanawake kutambua kuwa kura zao ni turufu ya ushindi kwa vyama vya siasa, hivyo wana nafasi ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano. Askofu Chinyong'ole ameyasema hayo...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

    Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime. Askofu Bagonza kwa nini...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kumwapisha Rais Je kanisa litapeleka askofu kumuombea Rais aliyepatikana isivyo haki?

    Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je 1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa...
  16. Griss

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida

    Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  18. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Askofu Michael Msonganzila: Wauaji wa Albino walipatikana kwa urahisi sana, kwa nini wauaji wa watu wengine ndiyo hawapatikani?

  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

    Hellow! Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu. Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ukistaafu, staafu By Baba Askofu

    Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
Back
Top Bottom