Habari ya asubuhi wadau, samahani kwa kuleta uzi asubuh asubuh kama hivi siku ha kazi 😁.
Leo nilikua nikiendelea kutafakari tukio moja limejitokeza siku ya jumapili ya juzi tarehe 16 January hukooo kanisani kwetu "Assemblies of God" likaweka sintofahamu kubwa sana kwenye nafsi za sisi wengine...