askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
  2. kavulata

    Wabunge hawa hawana sifa ya kutengeneza maono ya Taifa kama Askofu Gwajima anavyotaka iwe

    Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
  3. C

    Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

    Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile. Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
  4. J

    Askofu Gwajima afanya mkutano wa Injili Kongwa, wengi wahudhuria mapepo yalipuka

    Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe jana alifanya mkutano mkubwa katika jimbo la Spika mstaafu mzee Ndugai katika kata ya Kibaigwa. Maelfu ya wana Kongwa walihudhuria na kupokea uponyaji ikiwemo kutolewa majini na mashetani pia. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  5. The Khoisan

    Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  6. vnn

    Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  7. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  8. Boss la DP World

    Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

    Ameitisha mkutano na wanahabari muda huo
  9. masopakyindi

    Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

    Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima. Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani. Uongo mwiingi
  10. Kipenzi Changu

    Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  11. M

    Askofu Gwajima kaufyata?

    Mambo yanakwenda kwa Kasi sana! Miezi miwili iliyopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana na Kupinga chanjo ya Corona. Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa , kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa...
  12. rosemarie

    Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

    tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa??? nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa aliifata ccm ili...
  13. M

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima acha Unafiki tafadhali. Hizi Sifa unazompa Rais Samia kuhusu Royal Tour yake ni za Kumsanifu na Kumdharau pia

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo wa Chupa na bahati nzuri hata Yeye ameshakushtukia na anasubiri ujae vizuri amalize Shughuli ndani...
  14. Kipenzi Changu

    Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

    "Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze” “Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo...
  15. Erythrocyte

    Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

    Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida. Kama...
  16. Prof Koboko

    Askofu Gwajima na wewe umechangia kuligharimu taifa hili. Acha tabia hii!

    Nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa sana na huyu kiongozi ambaye pia ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo la KAWE kwa kauli zake za kuligawa taifa. Ni kama vile mamlaka vinamchekea utafikiri yeye anatembea na pembe. Huyu mtu anatoka hadharani na kudiriki kusema eti Marehemu JPM alimpigia simu na...
  17. J

    Gwajima, Polepole na Silaa waitwa Kamati ya Maadili ya CCM

    Dodoma. Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti. Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao...
  18. Ngaliwe

    Kwa hili, Bunge mmeliheshimisha Taifa

    Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu. Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
  19. Mwanamayu

    Huyu ndio Askofu Gwajima eti Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Hayo mengine hachapii kweli?

    Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.
  20. Ngengemkenilomolomo

    Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea" Kwa kauli hii Spika na...
Back
Top Bottom