Askofu Gwajima ndiye Dkt. Andrew Wakefield na Gordon Stewart wetu katika kupinga chanjo

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Kwenye miaka ya 1998 dr Andrew Wakefield alianzisha kampeni ya kupinga chanjo kwa kusema uogo kuwa inaleta ugonjwa wa usubi. Hii ilikuwa inafatia madai ya namna hiyohiyo yaliyotolewa na dr Gordon Stewart 1970. Askofu Gwajima naye naona kama anapita njia hizo hizo na vitisho kuwa chanjo ya corona italeta uzombi. Bahati nzuri historia inatupa majibu mazuri na mda utatujibu pia- SWALI je kwa gharama gani?

------
In 1998, now discredited British doctor Andrew Wakefield published a paper in The Lancet, one of the most important medical journals in the world, in which he falsely reported that the Measles, Mumps, and Rubella (MMR) vaccine was linked to autism in 12 cases.

In the paper, Wakefield described a direct link between gastrointestinal disorders and the cause of autism, and noted that these disorders developed as a result of the childhood MMR vaccine. Wakefield called for the suspension of the MMR-linked vaccines, suggesting that vaccines for each disease should be administered separately to prevent gastrointestinal distress.

There is a historical precedent for Wakefield’s assault on science. In the late 1970s in the United Kingdom, the DPT vaccine (diphtheria, pertussis or whooping cough, and tetanus) was attacked by University of Glasgow physician Gordon Stewart for its rare side effects, which included permanent brain damage. The response was careful monitoring both in the Great Britain and the United States of children who had received the DPT vaccine and the results were clear.

 
Mkuu kama unachanganya lugha hivi utakamatwa na 'C loo'
Sio bure hatujaelewa bhana
 
Gwaji aende kutest mtambo kwanza kuhakikisha kama yupo fiti kwa anavyodai... zaidi ya hapo wanamuonea...
 
muvi la kihindi linataka kuanza upya
FB_IMG_16293088940932431.jpg
 
Back
Top Bottom