askari polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Askari polisi Kenya ajichanganya

    Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi. Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa. Je, makosa ni ya nani?
  2. BigTall

    Ndugu zangu wa nyumbani Masasi Mtwara, ni kweli kuna Askari Polisi amefariki kwa kujipiga risasi akiwa kazini?

    Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga risasi na ni kama kweli amejipiga risasi amepigwa risasi. Taarifa hii nimeona inasambaa chinichini...
  3. R

    Askari Polisi kutumikia kifungo jela miaka 2 kwa kumuua raia bila kukusudia Iringa

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu Askari Polisi namba F.4987, Sajenti Rogers Mmari wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia kijana Nashon Kiyeyeu, mkazi wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa. Hukumu hiyo imetolewa...
  4. Mafyangula

    POTOSHI Video ya Askari polisi akilia kwa uchungu baada ya Mkewe kuuliwa na watu wasiojulikana

    Kuna hii video inamuonyesha moja ya mtu ambaye inasemekana ni Askari polisi akilia sana na kwa uchungu baada ya mke wake kuuwawa na watu wasiojulikana. Na moja ya kauli yake anasema ninawalinda watu ila mimi nimeshindwa kumlinda mke wangu hadi kauwawa Je hii video upi uhalisia wake ni ya lini
  5. JanguKamaJangu

    Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  6. I

    Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  7. Idugunde

    PostGE2025 Sidhani kama kuna Mtanzania ambae aliumizwa atawasamehe askari Polisi. Ipo siku hata misiba yao watajizika wao peke yao

    Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha. Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

    Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka. Baada ya kuinuka alimtembezea...
  9. kyagata

    Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

    Hapa mtaani kwetu tayari tumeshawatenga watatu, tumedhamiria kutoshirikiana nao kwa jambo lolote.
  10. mirindimo

    Twaha Mwaipaya: Haya sio mabanda ya kuku. Ni nyumba za Jeshi La Polisi Central Dodoma

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram: Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie...
  11. Scared

    Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  12. Kubwjing

    TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  13. feyzal

    GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCK: Tutawashonea suti askari polisi, wale wazee wetu wastaafu tutawajengea nyumba mjini na vijijini

    CCK ikiingia madarakani itasimamia mchakato wa katiba mpya ambayo si kwa siasa pekee bali yenye kugusa maisha ya wananchi, akieleza kuwa uongozi uliopita muda wao umepitwa. "Watu wameng'ang'ania maofisi, vijana wenye elimu wanahangaika, CCK tukiingia madarakani ni kuwaondoa hao na kuwapa nafasi...
  15. DuaZaMama

    Polisi: Mtuhumiwa mmoja akamatwa kwa kujifanya askari polisi, yatoa tahadhari kuelekea Dabi ya Kariakoo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025 maeneo ya Kariakoo Ilala alikamatwa mtuhumiwa Peter Mahende Mkazi wa Ilemela Mwanza kwa tuhuma za...
  16. A

    DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  17. Mindyou

    Baada ya kuchoshwa na mateso ya Askari wa Maliasili, wananchi waamua kuchoma pori

    Wakuu, Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na askari wa Maliasili. Tukio hilo limeibuka baada ya watoto wawili kukutwa porini wakiwa wamepigwa na...
  18. W

    Muliro: Askari Polisi wa Nchi yetu wana akili kuliko wa nje wanaotegemea vifaa vya Uchunguzi

    "Kulinganisha jeshi letu la polisi na Marekani ni makosa makubwa wakati unakuta kuna CCTV camera kuanzia ndani. Kuna footage kwenye gari, barabara, ofisini. "Sasa uchunguzi wake utalinganisha na Mtanzania ambaye anatumia akili yake. Ni kweli kuna mabadiliko makubwa kwenye uchunguzi, tunasoma...
  19. Carlos The Jackal

    Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  20. Roving Journalist

    TAKUKURU yasema inafuatilia tuhuza za rushwa zinazotajwa kuhusisha Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Kigwa - Tabora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora. Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko aliandika kuwa “TAKUKURU Uyui -...
Back
Top Bottom