Nimetokea kuupenda na kuuamini zaidi uchawi wa Mzungu kuliko uchawi wa mwafrika/Mwarabu (msingi wa uchawi wa Mwarabu na Mwafrika ni the same). Uzuri wa uchawi wa Mzungu, ukiufuata vizuri basi matokeo yake ni asilimia mia moja.
Sasa leo nataka nikufundishe kuhusu dawa ya ngekewa pamoja na dawa...
Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo).
Amesema mdudu huyo anayesababisha magonjwa makuu mawili, asilimia 80 kati ya vifo hivyo vinatokana na aina ya ugonjwa wa ndigana kali...
Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho huku zaidi ya asilimia 90 ya matatizo hayo ya macho yanatibika.
Amesema Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassm Majaliwa kuzindua jengo la...
Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:
a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je, wewe...
Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo.
Kwanini hali hii?
1. Mama kulinganishwa na Mwendazake
Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
Idadi ya watu wanaougua au kufariki kwa ugonjwa wa saratani ya Ini wataongezeka kwa hadi zaidi ya asilimia 55 ya kiwango cha sasa ifikapo mwaka 2040 iwapo jitihada za haraka hazitafanyika kuikabili changamoto hii.
Watu 905,700 walibainika kuwa na ugonjwa huu mwaka 2020 pekee huku wengine...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35...
Wiki haipiti sijapokea simu kwenye moja ya namba yangu, ukiuliza mtu anasema yuko mara, kingine wanakua ving'ang'anizi yani ukimwambia mtu humjui analazimisha mfahamiane, na unakuta mtu amepiga hata mara tatu, unadhani ni mtu anaekufahamu labda anadharura. Why Mara?
Katika mishahara ya watumishi wa umma, kuna makato ya lazima ambayo ni PAYE, Bima ya Afya, Makato ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na makato mengine ya kujiunga kwa hiari kama ya vyama vya wafanyakazi, nk.
Nachojiuliza, ni sahihi mshahara unapopanda na makato haya kupanda automatically?
kwa maneno...
Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa kukabiliwa na aina fulani ya ukatili.
Rais wa Idara hiyo, Graciela Marquez ameeleza kuwa unyanyasaji...
Kama hoja ilivyo, naomba wajuvi wa jambo hili la sensa wanieleweshe. Nimeona taarifa zikiandikwa kutoka kwa mamlaka za sensa kuwa hadi sasa kaya zilizohesabiwa ni asimia 93. Ili kupata asilimia lazima uwe na idadi halisi ya jumla ya kaya ambayo ni kamili ndipo ulinganishe na zilizokwisha...
Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi.
“Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa limezindua ripoti ya matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi ulioangazia maoni na uzoefu wa Watanzania kuhusu hali ya taifa kati ya Oktoba 2021 na Julai 2022 ikiwa umejumuisha maoni na uzoefu wa wananchi kuhusu tozo za miamala ya fedha kwa...
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita.
Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa;
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.
Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
Hili ni andiko juu ya sensa na makazi KUHUSU kuwepo kwa uwazi wa zoezi lenyewe.
Nimeamua kukumbushia hili maana tayari zimebakia siku 7 tu ili wananchi wapate kuhesabiwa.
Zoezi hili Lina manufaa mengi Sana na linaigharimu serikali yetu mamilioni ya pesa. Hizo pesa ni kodi zetu na endapo zoezi...
Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.