Yamal ana kipaji cha asili, Olise ana ubunifu wa kipekee, lakini Kvaratskhelia anakupa kila kitu

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
810
Reaction score
2,039
KOY.jpg

Lamine Yamal ana kipaji cha asili (talent), Michael Olise ana ubunifu wa kipekee (flair) uwanjani, lakini Khvicha Kvaratskhelia ndiye mchezaji anayechanganya vitu vitatu muhimu kwa kiwango cha juu: uthabiti (consistency), kuibuka kwenye mechi kubwa (big games mentality), na kuwa na athari ya moja kwa moja kwenye matokeo (real impact).

Kwa kifupi, wengine wanavutia macho… lakini yeye anabadilisha matokeo ya mchezo pale inapohitajika zaidi.
 
Gemu Za Seria A Kipindi Yupo Napoli,,Nilikuwa Najitahidi Sana Kutokosa Kuzicheki Ili Nione Jamaa Anavyobiringisha Gozi....
Khvicha Yuko Njema Mnoo Katika Soka...Sema Tu Haimbwi Kama Wanavyoimbwa Wengine...
 
HAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
 
Olise alivyokutana na muhuni Fabian Ruiz alipoteana sana tokea first leg na Jana . Hata chenga zake na miondoko yake ni predictable beki ukifanya homework vizuri kwa kuangalia videos zake na kumMark kisawasawa basi imeisha unamtia kapuni
 
Kweli kabisa
 
HAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
Olise hata shabaha ya kulenga goli bado hayupo vizuri. Luis diaz na kvaratshkelia wakipata site ya kupiga on target hawakuachi. Jana kila wakitafuta site walikua wanawekewa ukuta.

Olise game nne dhidi ya real madrid na psg kapata site nyingi za kipiga on target akawa anapaisha tu
 
HAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
Kvara anachowazidi wenzake ni hicho, anakaba, anakimbia na kupress all the time, sio yeye Tu hata Dembele na mastaa wengine wa psg, sio "Diva" ndio maana unakuta Big match zote ana perfomance kubwa Sana.

Ila mechi ndogo ni mchezaji wa kawaida Sana.
 
Back
Top Bottom