Vale Nafaka ni mzuri wa asili hilo halipingiki

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,740
Reaction score
6,289
Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.

Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.

Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.

Kwa wale wasiomjua Valentina Gabriel ni binti mdogo tu wa miaka 25 anajishughulisha na maswala ya kilimo na nafaka.

Ni msomi mwenye digrii ya ualimu chuo kikuu cha DSM.

Ndiye mwanamke pekee mwenye makalio makubwa mwenye akili.

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

Screenshot_20260810_184610_Instagram.jpg
Screenshot_20260810_000547_Instagram.jpg

Grahams min -me MamaSamia2025
 
Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.

Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.

Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.

Kwa wale wasiomjua Valentina Gabriel ni binti mdogo tu wa miaka 25 anajishughulisha na maswala ya kilimo na nafaka.

Ni msomi mwenye digrii ya ualimu chuo kikuu cha DSM.

Ndiye mwanamke pekee mwenye makalio makubwa mwenye akili.

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

View attachment 3647752View attachment 3647753

Grahams min -me MamaSamia2025
Nakubaliana na wewe, mtoto ana nafaka ya kushato
 
Naungana na mleta uzi kuwa huyu mtoto ni mzuri kupitiliza. Huwezi kuongelea uzuri wa mwanamke bila kumtaja Vale kama mfano hai. Ingawa ndugu loose Nut ni baradhuli mwenye tamaa ila kaongea ukweli kuhusu uzuri wa Vale.
 
Hahahahahaaaaa hakika ni zawadi kutoka kwa Mungu kwasisi mabaradhuli 😆😆😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom