Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu.
Kwa muda mrefu sasa, Mkoa wa Arusha umekumbwa na tatizo sugu la ongezeko kubwa la foleni ya magari...
Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha
Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa.
Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira:
Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
Anonymous
Thread
arusha
fedha
kazi
makato
malalamiko
mkoa wa arusha
mkopo
AARIFA KWA UMMA
UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji.
Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
Jeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 ikielezwa kuwa ni baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Jijini Arusha, alikokuwa akishikiliwa kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria...
Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM.
Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
Paul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana.
Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge na kuzungumza na wafanyabiashara aliahidi kuwa katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka...
Wanasemaga kaskazini hatokagi fala. Sasa huyu jamaa anayejiita Paul Makonda, alitoa ahadi kama anaongea na wanafunzi wa chekechea—ahadi hizo ziko wapi? Kwa sasa yuko zake Morocco kwenye AFCON; no Shoziniga, no Makonda. Happy New Year watu wa Arusha.
Wana-JF,
Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium.
Lengo lilikuwa ni...
Habari zenu wakuu,
Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha.
Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani.
Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji.
kwa...
Musoma ipo karibu sana na Serengeti, lakini ujenzi wa airport ni wa kusua sua na barabara za Musoma kwenda wilaya ya serengeti ni duni.
Watalii hutua Arusha uwanja wa KIA, kisha husafiri masaa manne kufika Serengeti.
Na hata ofisi za mbuga ya Serengeti zipo Arusha wakati mbuga na wilaya ya...
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana...
Jiji la Arusha limejaliwa rasilimali nyingi hasa kwenye sekta ya utalii lakini mpaka leo hawana stendi ya mabasi zaidi ya zile za watu binafsi ambazo na zenyewe nafasi ni finyu.
Jiji limekaa kaa tu halina hata mpangilio na ndio makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ndio makao makuu...
Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda kujifungua et wamemzuia kupita na wamempiga mbaya then wamemuingiza kwenye gari kama unavyo ona hapo...