arusha

  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

    wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie?? sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Utata waibuka alipo mfanyabiashara aliyemkosoa DC Arusha - wenzake wadai yupo polisi -wapanga kugoma

    Hata DC naye ukimkosoa, Anakutumia Watu wasojulikana, Wanakuteka, Wanakuua, unabaki Stori, Alafu DC kesho yake anatumbuliwa Tayari keshakuua Haya ni Matokeo ya kua na Rais Haramu, alojiweka hapo juu kwa Uharamu, Utekaji, mauaji na Kila aina ya baya. Sasa huyo ni DC, anamteka mtu...
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Nini Kimeibadili Arusha Toka "Arusha Hakuna Fala Hadi Ufala 100%"?

    Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua. Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arusha wauwausha moto!, wafunga Barabara wataka 'Bamsi'

    Ni katika mtaa wa Sokoni One, kata ya Sinoni jijini Arusha, ambapo asubuhi ya leo Februari 1, 2026, wananchi wa eneo hilo wameandamana na kufunga barabara inayotoka Sinoni kuelekea Ngusero kwa takribani masaa matatu. Wananchi hao wanapaza sauti wakiiomba Serikali na mamlaka husika kuweka bamsi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopata hostel chuo cha Arusha Technical College licha ya kulipia hostel mwaka mzima

    Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata chumba, unaweza ambiwa msubiri matron akupangie chumba ila ukakaa mpaka jioni bila mafanikio yoyote na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atembelea hifadhi ya Taifa ya Arusha

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA ▪️Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto ajinyonga na kuacha barua yenye ujumbe huu, 'Mungu mpe bibi hela ya marejesho'

    Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto aliyetoroka kwao amepatikana na kueleza kilichotokea

    Kufuatia tukio la mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Murieti Jijini Arusha, aitwae Daniel Jeremia (15), kutoweka nyumbani kwao January 26, 2026, nakuacha ujumbe unaosema kuwa anamuonea mama yake huruma kwa namna anavyomuhangaikia maishani, hatimaye leo January 31...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Afisa Maendeleo Kata ya Sombetini anaomba rushwa kwa wanavikundi walipata Mkopo

    Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Arusha Technical College kufuta mahafali kisa wahitimu kugoma kukodisha majoho

    Ni habari iliyotikisa wengi, wengine wakacheka kwa uchungu na wengine wakashika vichwa: Chuo cha Arusha Technical College (ATC) kimetangaza kuwa hakutakuwa na sherehe za mahafali kwa wahitimu wa mwaka 2025, zilizopangwa kufanyika tarehe 31 Januari 2026. Sababu? Asilimia 7 tu ya wahitimu ndio...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hakuna Flight ya Dodoma to Arusha. Kwanini?

    Inasikitisha mno. Pamoja na kuwa na Afcon 2027. Ila maajabu hakuna direct flight toka Dodoma to Arusha. Air Tanzania, hii ni nini?? Yaani unatoka Dom, ili uende Arusha, lazima uwende Dar, Zanzibar, Kilimanjaro then Arusha. Ukitoka Asubuhi unafika usiku. What the he'll?? Mbona mnaharibu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukarabati wa barabara ya Arusha - Moshi unatia walakini; uchunguzi ufanyike

    Barabara ya Arusha - Moshi mwaka jana ilikuwa inafanyiwa ukarabati maeneo ya KIA, King'ori na Kikatiti. Ukiangalia maeneo yaliyokarabatiwa sio yale yenye mashimo sana na kuna maeneo walikarabati kama mara tatu wanamaliza, barabara inapita then wanabomoa wanaanza tena ukarabati. Inakuwa ni kero...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

    Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  16. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa CRDB tawi la Meru jijini Arusha jitahidini kutunza siri za taarifa za wateja wenu

    Hii imetokea siku ya Ijumaa tarehe 16 January 2026, Kuna jamaa aliingia kwenye hili TAWI, akiwa ameenda kupata huduma ya kuweka fedha katika akaunti zingine, lakini yule mteja Kila alichokuwa anafanya yule mteja wale wafanyakazi wa TAWI wakiwa makini sana kufuatilia baadae akatokea mfanyakazi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Teacher for pre-school & daycare center is needed in Arusha; High Hopes Academy

  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

    Mlimchagua kwa mbwembwe.. Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya vyombo vya moto ni tatizo sugu Arusha, Viongozi wa Mkoa wameshindwa kupata utatuzi?

    Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu. Kwa muda mrefu sasa, Mkoa wa Arusha umekumbwa na tatizo sugu la ongezeko kubwa la foleni ya magari...
Back
Top Bottom