arusha

  1. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

    Wakuu Naomba kuuliza kwa hapa Arusha wapi tutapata Nabii, Padre atakaeweza kuombea mtu na akapona shida yake. Asante
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Nalitamani jimbo la Arusha mjini,ni wakati wa vijana wachapa kazi

    Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na wadau wa utalii katika jimbo hili kuhakikisha utalii unatangazwa na vijana wanapata ajira ya uhakika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza unga wa mbegu za maboga (Pumpkin Seed Flour). - Arusha

    Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote. Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k Bei ni...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

    Hapo vip!! Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha. Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Arusha: TAKUKURU yakanusha kumshikilia na kumhoji Mrisho Gambo

    Zaidi soma; Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ahojiwa na TAKUKURU
  6. JamiiForums Tanzania Video: Aliyekuwa RPC wa Arusha aanza majukumu mapya kwa kishindo huko CCP Moshi

    Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi . Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madee adai marafiki wanamshawishi akagombee ubunge Kongwa na Dogo janja kugombea Arusha mjini

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai. Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia Wananchi na kumpongeza Rais...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Arusha wamshukuru Rais Magufuli kwa kuubadilisha uongozi mzima wa mkoa, waahidi kumstaafisha Lema Oktoba!

    Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya. Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo. Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

    Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu! Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA...
  10. JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha na Mkurugenzi wa Takukuru Arusha wamefanya nini kiasi rais Magufuli katoa onyo mbele ya hadhira?

    Wasalaam..! Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini? Wenye information mtujuze tafadhali
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Magufuli Arusha ni wa kupongezwa

    Rais Magufuli tumpongeze pale anapofanya maamuzi ambayo yana manufaa kwa taifa kwa ujumla na hapa ameweka taifa kwanza. Kama nilivyosema kwa mimi navyomjua Rais Magufuli alikuwa anapenda vijana viongozi wa upinzani Arusha kwa maendeleo walioleta hata Lema Rais Magufuli anampenda kama mtu mwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  13. JamiiForums Tanzania Kiukweli Arusha ilinuka Mh. Polepole ulichelewa sana kumshauri Rais kama yule DC wa Mara

    Naomba nichukue muda kumshukuru. Mh rais kwa yale mazuri anayoendelea kufanya ikiwemo. Kutoangalia wanaokichafua chama. Na serikali yake. Niweke wazi viongozi wa CCM mnaomsaidia mh raisi kama mtaacha dhana ya kujuana ama Kulindana mtamsaidia sana mh rais. Nioongee machache kuna DC Mara alikuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

    Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai. Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais. Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

    Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi. 2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango)...
  17. B

    JamiiForums Tanzania RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
  18. JamiiForums Tanzania Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli...
  19. JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Licha ya Tanzania kuongoza Afrika Mashariki kwa wageni wanaotalii mbugani, bado Utalii wa Ndani, umeendelea kuwa chini kulinganisha na Nchi nyingine kama Kenya na hivyo kuendelea kudumaaa kwa Sekta ya Usafirishaji na ya Huduma hasa Mahoteli katika maeneo yaliyo mbali na Kanda Kuu za Kiutalii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…