arusha

  1. House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  2. Watatu wapoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi Arusha

    Watu watatu wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeluhiwa baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wanapakia Molamu katika Machimbo ya Molamu yaliyopo Kisongo Wilayani Arusha. Machimbo hayo yalishawahi kuuwa RAIA wengine na kufungwa na aliyekuwa mkuu wa Arusha ,Magesa Mulongo ,hata hivyo...
  3. Hotuba ya Taasisi za Kihabari katika siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani (WPFD) iliyoadhimishwa kitaifa mei 3, 2021 Jijini Arusha, Tanzania

    HOTUBA YA TAASISI ZA KIHABARI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2021 JIJINI ARUSHA, TANZANIA Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Iddi Hassan Kimata; Naibu Waziri wa...
  4. Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

    Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha. Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na...
  5. S

    Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
  6. ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

    Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 100. Wiki iliyopita Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na kupambana na Rushwa...
  7. New Government Vacancies UTUMISHI At Arusha Technical College (ATC), April 2021

    3.0.1 JOB TITLE: INSTRUCTOR II – 2 POSTS 3.0.3 JOB TITLE: MECHANICAL ENGINEERING DEPARTMENT – 1 POST 3.0.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 6 and may assist teaching in higher NTA levels; ii. To assist in conducting tutorial and practical exercises for students under...
  8. Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

    Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe, Hata usingizi hauji kutokana na hofu. Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
  9. Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

    Habari wanajamii forums, Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa. Ahsanteni.
  10. N

    Waziri mwenye mamlaka chunguza Idara ya Kazi mkoa wa Arusha

    Wasalam! Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi. Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya kupitia malalamiko ambayo ni mengi mno yamefikishwa idara ya kazi mkoa wa Arusha lakini bahati mbaya...
  11. Bitter Kenyans are still trying to frustrate EACOP

    Case against pipeline project delays in Arusha WEDNESDAY APRIL 21 2021 By LUKE ANAMI A case seeking to stop construction of the oil pipeline from Uganda to Tanzania for failing to conduct an environmental and social impact assessment has failed to take off even as the two countries proceed with...
  12. Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
  13. M

    Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  14. CPA ya viwango vya kimataifa (ACCA) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A)

    Habari za wakati huu jamiiforums C.P.A ya viwango vya kimataifa (A.C.C.A) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) Soma>>> Wahasibu, kwanini yanayofundishwa mitihani ya CPA yasiingizwe kwenye mitaala ya vyuoni? Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf...
  15. Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

    Habari zenu jamiiforums Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental? ========== Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa...
  16. Tunanunua Mayai ya Kuku wa kisasa (Arusha)

    GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100. Tupo Arusha Mjini Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570 Karibuni
  17. R

    Mwenye contacts za wachina Arusha naomba msaada

    Wakuu natumaini mu wazima. Naomba kwa yeyote mwenye contacts za wafanyabiashara wa kichina au Japan waliopo Arusha anisaidie. Nataka kuangalia products zipi naweza kuwauzia kwa soko la China. Natanguliza shukrani za dhati.
  18. TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

    Kwa utafiti wa siku nne niliofanya TRA Arusha hususani idara ya Dept Management ambao pia nimehusisha baadhi ya wateja waathirika wenzangu nime note deliberate sabotage ya mapato ya serikali inayofanywa na wafanyakazi haswa kwenye issue ya TAX clearence. Katika utafiti wangu nimebaini...
  19. M

    Nifanyeje niolewe na mwanaume wa Arusha ambaye ni Muislam?

    Jamani napenda mbegu za kiarusha Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
  20. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…