arusha

  1. Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  2. Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

    Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
  3. S

    Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
  4. Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

    Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana. Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi...
  5. Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  6. Mrisho Gambo na Siasa za Arusha

    Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB). Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu. Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata...
  7. Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    Heshima sana wanajamvi, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la Polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa COVID 19 anakimbizwa...
  8. W

    Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee. Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania. Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii. Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza. 1. Covid 19 imeutesa sana huu...
  9. Naibu Waziri wa Mazingira apongeza uwekezaji kiwanda cha A to Z Arusha

    ARUSHA KIWANDA cha kutengeneza nguo na vyandarua kilichopo jijini Arusha,A to Z kinatarajia kuongeza ajira kwa vijana baada ya kuwa na mipango ya kuzalisha bidhaa za plastiki kutokana na taka ngumu za chupa za maji na mifuko ya safleti. Mtendaji Mkuu wa Kiwanda hicho Viral Shah, aliyazungumza...
  10. Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

    Nipo Arusha, yaani hivi vi-hiace katikati ya mji ni uchafu na usumbufu katika zama hizi za wingi wa magari. Vinasababisha usumbufu, vinasimama popote ni vingi na kero. Uongozi wa Halmashauri ya jiji Arusha hebu igeni majiji mengine ya Tanzania kama Mbeya na Dar walishaachana na vigari aina ya...
  11. Joining instructions ya Mlangarini Secondary School haipatikani

    Wadau Habari za mida hii, Joining instructions ya Shule ya Sekondari MLANGARINI haipatikani kwa utaratibu uliotolewa na TAMISEMI. Kama kuna mdau anayo, basi naomba anitumie. Pia kama kuna mdau mwenye namba za mwalimu yoyote wa shule hiyo au shule jirani na hiyo, basi naomba anisaidie namba...
  12. R

    Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

    Habari wakuu. Natafuta muuzaji wa zao la mwani kwa Arusha ambaye ana kibali cha kusafirisha nje ya nchi. Mawasiliano 0776655978
  13. J

    Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
  14. Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

    Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako. ..... Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha. ..... Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
  15. Nakuru Town vc Arusha city

    Following a claim by some sections from our neighbour that Nakuru Town beats Arusha city, it is time to iron out the facts out! Whereas Nakuru is still a town some people r trying to compare it to the city of Arusha, the safari capital of East Africa! Mind u, Arusha has the following...
  16. Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili ===== UPDATES: ===== Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
  17. Bodaboda Arusha wamkumbuka aliyekuwa RTO Arusha, Charles Bukombe

    Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao. Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo...
  18. L

    Maktaba kuu ya Arusha

    Kazi iendelee... Maktaba kuu ya Arusha, kisima cha maarifa uliyebeba mengi... Safari za ushindi za watu machozi yao na furaha, historia ya tangu kuumbwa kwa dunia hata leo kaskazini kusini mashariki na magharibi jamani wahusika ipakeni rangi hii maktaba kwa nje rangi imechoka mno maktaba...
  19. A

    Naomba ushauri: Mpenzi wangu haelewani na ndugu zake. Nimsaidiaje?

    Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa. Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani. Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
  20. Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

    Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange Baridi ni kali mno
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…