Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025.
Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu.
Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Kiukweli Arusha inakwenda kuwa...
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
Habari wakuu.
Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu.
Nawasilisha.
Asante
Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya.
Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini.
Unawaambia watu huwezi kwenda...
Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.
Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.
Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi yetu.
Utalii ni Moja ya sekta tegemeo katika upatikanaji wa fedha za kigeni na upatikanaji wa ajira...
Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli.
Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma.
Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo:
i) Amemteua Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!.
Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
Habari wakuu,
Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta.
Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano.
Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.
Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
Machi 20, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuhusiana na kifo cha Omary Saimon Msamo kilichotokea huko Wilayani Karatu Mkoa wa Arusha Machi 16, 2024.
Tulieleza kutokana na mazingira yaliyokuwa yamezunguka tukio hilo ilitubidi kushirikisha wataalam mbalimbali wakiwepo wachunguzi wa matukio ya...
UBUNTU BOTHO
Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .
1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.
2)Uchache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.