arusha

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afisa Upelelezi (Omary Mahita) akamatwa kwa tuhuma za kumvunja Mguu raia

    Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi. Askari huyo anatuhumiwa kumvunja mguu wa kushoto Peter Charles (21), mkazi wa Daraja II, jijini Arusha Juni 6, 2024...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi zaidi ya 400,000 kuhakikiwa mkoani Arusha

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Zaidi ya Taarifa za Anwani za Makazi 400,000 zinatarajiwa kuhakikiwa katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Arusha katika zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi lililoanza rasmi Agosti 14 mwaka huu. Hayo yamebainishwa leo tarehe 15 Agosti, 2024 na Bw. Mulembwa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

    Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake. Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu kwanini shule za maeneo ya mjini Arusha ni wanawake? Mama mpumzishe Mchengerwa

    Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu wa kiume wako wapi. Jibu ni kwamba wale walimu ni wake wa viongozi pale Arusha, Mkurugenzi hana...
  6. master09

    JamiiForums Tanzania Interview za Tanapa - Arusha

    Habari, ninamasikitiko kwa jinsi ya zoezi la interview linavyoendeshwa huko Arusha. Kuna issue ya age limit 25 kwa diploma na degree 30,mfumo wa utumishi(ajira portal) umechuja kulingwna na age labda 25 sawa sasa watoto wameitwa baada ya miezi miwili au mitatu before alikuwa 24 wakati anaomba...
  7. BLACKLIST 12

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha; Taa za kuongoza magari zina zaidi ya mwezi mmoja hazifanyia kazi

    Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko huu mgao wa umeme Arusha ni wa nini?

    Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi? Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania WMA yawapongeza Wakulima Karatu kuzingatia matumizi ya vipimo sahihi

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha na kuridhishwa na namna wakulima hao wanavyozingatia matumizi ya vipimo sahihi...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

    Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha. Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

    TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme. Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
  13. cacutee

    JamiiForums Tanzania Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

    Wakuu heshima zenu, Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam. Gari luxury kweli Gari linalofika kwa wakati Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo) Asanteni.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Don Bosco Dodoma na Abc College Arusha vs VETA, which is the best to study?

    Wadau,, nimeambia kunavyo vya ufundi Donbosco Dodoma na chuo cha Abc Arusha.Nwuliza je kunawatu wamesoma hivi vyuo? Na je elimu yao ikoje ukilinganisha na kusoma VETA. Asante
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba treni ya SGR Dar - Moshi - Arusha tumechoka na mabasi

    Shikamoooo mama popotee ulipoo Tumewiwaaa kuwaombaaaa mtusaidie jaman watu wa arusha moshiii tupateee na sie sgr Mungu awabariki sanaaa sanaa kwa hili
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Arusha atoa simu wilaya zote kwaajili kusajili Wanachama wapya wa CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM. Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone)...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wadau mbalimbali wakutana Arusha katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) kujadili Mbinu za Kisasa za Ununuzi ili Kudhibiti Rushwa

    https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
  19. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Atimiza Ahadi Yake ya Milioni 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha

    MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
Back
Top Bottom