GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
61
Reaction score
131
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini

Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.

Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
 
Kama makonda alishindwa kigamboni ambapo Kila mtanzania alikuwa anajua atashinda, sijui Kwa Arusha. Japo kama kigezo ni kupitia Kwa Rushwa basi makonda ana pesa nyingi sana za kifisadi lakini sijui kama Wana Arusha watasemaje
 
Nyie vijana mmesoma wapi? Mmetoka vyuo vya kata, you can not make sense out od rubbish! hawa wote ni CCM. swali kuu, nani atapita mchujo wa CCM?

Makonda ni "swahiba"/ mtu wa Samia, he is likely to get nominated compared to Gambo! Kama hakuna chadema, Makonda anashinda!
 
Back
Top Bottom