ardhi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Deep Poll kabla haijasajiliwa Wizara ya Ardhi inakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

    Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti. Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za umiliki wa ardhi Tanzania Bara

    SURA YA KWANZA HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:- A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:- · Ardhi yote...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wizara ya ardhi DSM iliamua kupima mbuga na mabonde yote ya kulima mpunga kuwa sehemu ya makazi?

    Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam! Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi? Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa Utekelezaji wa agizo hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita haonekani ofisini, anaishi mkoa wa Mwanza

    Mh. William Lukuvi, tunaomba utusaidie kumwajibisha kamishina wa ardhi mkoa wa Geita akae ofisi ahudumie wananchi. Mtumishi huyu amekuwa haonekani ofisini na anaishi mkoa wa Mwanza anafanyia kazimkoa wa Geita. Wananchi wanateseka kupata huduma kupitia ofisi yake na ukizingatia kuwa nafasi...
  8. JamiiForums Tanzania Nani aliyehisi tetemeko la ardhi tarehe 22 Machi, 2021 jijini Dar es Salaam?

    Hope mko njema, Binafsi jana nikiawa nimetulia kibarazanii mida ya saa mbili usiku nilihisi mtikisiko wa nguvu tu uliodumu kama sekunde 10 hivi. Sikutilia maanani maana nilikua nipo bize na simu ila nilihis kama tinga tinga la kushindilia lami limepita kwa ule mtikisiko Nikasema niingie ndani...
  9. JamiiForums Tanzania UDSM, SUA, Ardhi Institute, Muhimbili, Mloganzila, UDOM and other relevant institutions please help us we have a serious pollution problem

    When I was young I could see kilometres away. Visibility was not a problem. You could see an iron sheet corrugated house miles away,and if you had good eyes, you could see even trees and vegetation on mountain tops and sides.Oh my,not any more. In the mornings, afternoons and evenings, it's...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ndo chanzo cha migogoro ya ardhi

    Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya .. Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada... Toka serikali ianzishe utaratibu wa kubadili policy zinazohusu ardhi na sheria zake karibu kila mwaka .. migogoro...
  11. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Ardhi Jiji la Dodoma imezidiwa na wateja au kuna uzembe?

    Wanabodi, napenda kupata uzoefu kwenu kuhusu hali ya msongamano wa watu wa kila siku za kazi za juma katika Idara hii ya Ardhi Jijini Dodoma ambayo haipunguwi kama wagonjwa wanaokwenda kutibiwa hospitali wakati wa mlipuko. Nimekuwa mhanga pia wa kuhudhulia katika ofisi hiyo kwa Jambo moja...
  12. JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaojua Kusali hasa tuziombee sana Fedha na Ardhi zetu kwani Mchina Kazivamia kwa Kasi akitaka Kuzimaliza

    Sasa nimeamini kuwa Mchina kama aliweza Kuingia kwa Wabishi na Wababe Marekani na Uingereza angeshindwa vipi Kuziingilia Fedha za Tanzania pamoja na Ardhi yake pia? Ombi tu kwa wale Watanzania tunaojua hasa Kusali kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba hebu tumuombe amfukuze Mchina aliyeng'ang'ania sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze na uyajue madhara ya unyakuaji wa ardhi

    Mahitaji ya ardhi yameongezeka wakati wawekezaji wanatafuta maeneo ya kupanda chakula cha kuuza nje, au kukuza nishati ya mimea, au tu kupata faida. Hii hupelekea unyakuaji wa ardhi kutoka kwa jamii za hali ya chini ambao ni wamiliki wa asili wa ardhi hizo. Unyakuaji wa ardhi huwaathiri...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya MaDC kufukuzwa kwa baa la njaa tujiulize nani aliuza ardhi ya vijiji? Walengwa walime wapi?

    Wana Jf, Nawaonea huruma sana MaDC kwa kuishi kimashaka kama ikitokea kwao baa la njaa likawakumba, pengine ni kutokana na jiographia kuwa wananchi wazazi wao walipopachagua kuishi na kupaita kwao ni full ukame na wanaishi hapo kwa kutangatanga kufuatia urithi walioukuta. Wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Ardhi University wasitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wake

    Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae. Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
  18. JamiiForums Tanzania Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

    Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania. Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!

    Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...
  20. JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…