ardhi

  1. JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi?

    Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi? Mfano miji mingi ambayo ndo inaanza kukuwa wengi hawajapima viwanja vyao. Je, mimi binafsi nikitaka kuanza kulipia nahitajika nipitie wapi ili nianze kulipia kiwanja changu ambacho hakina nyumba?
  2. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke jitokezeni muwape ufafanuzi juu ya utwaaji ardhi unaonekana ni wa kiholela unaondelea kwa baadhi ya maeneo

    Habari wadau..! Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Waziri wa Ardhi wa kudhalilisha wawekezaji umepitwa na wakati. Akumbuke hii awamu ya 6

    Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6. Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matumizi Bora ya Ardhi kwa Maendeleo endelevu

    UTANGULIZI: Tanzania ni miongozi mwa nchi za bara la Afrika zinazopatikana kusini mwa jangwa la Sahara, pia ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kiuchumi duniani. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyingi ambazo ni pamoja na ardhi yenye rutuba, bahari ya Hindi, maziwa makubwa na madogo...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Ili nchi iendelee inahitaji Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora

    Nasoma moja ya vitabu vilivyoandikwa na hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa kweli vimejaa hekima na busara. Naipima Tanzania na vigezo vya maendeleo alivyoainisha Mwalimu Nyerere kwamba ni watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Bado sijajua Tanzania tunakosa nini katika hivyo vinne! Je...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; migogoro yote itaisha nchini

    Naam, jamaa ni yule yule sijui ni wale wale I don't know. Namna ya kutatua migogoro ya Ardhi nchini. Jisomee mwenyewe. Halafu, wapinzani njooni kosoeni tuone hoja zenu na CCM tuchukue ========== MIGOGORO YA ARDHI – TANZANIA (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ipi siri ya kanisa Katoliki kujimilikisha ardhi kubwa kwa jina la Vatican?

    Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali. Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi...
  12. JamiiForums Tanzania Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya na Ardhi ya Tanzania. Tuweni Makini!

    Leo nikiwa mmoja ya Watanzania walioalikwa kwenye mnuso na Wakenya iliyofanyika nyumbani kwa Mkenya mmoja maeneo ya Mbezi Beach, baada ya kupiga gambe la uhakika, Wakenya walianza kuropoka. Ila nilishtushwa na kushanganzwa jinsi walivyokuwa wakisema waziwazi, kwamba maendeleo ya Kenya hasa...
  14. JamiiForums Tanzania Inakuwaje milipuko ya ardhi ( volcano ) hutokea milimani?

    Wakuu, naomba tukumbushane ni sababu zipi zinazopelekea milipuko mingi kutokea milimani?
  15. JamiiForums Tanzania Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  16. JamiiForums Tanzania Restituta Mbogo: Wakina Mama hakikisheni Wanaume wanaandika majina yenu pindi wanaponunua ardhi

    Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia. Mhe. Restituta ametoa ushauri...
  17. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Serikali iwe na utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, ameitaka Serikali kuweka Utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa Wananchi kwa wakati akisisitiza lazima Fedha ziwe zimeshatengwa wakati uthamini unafanyika Wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, amesema "Mara nyingi uthamini unafanyika...
  18. JamiiForums Tanzania Tuchangamkie fursa za kununua ardhi mapema

    Habarini wanajamvi, kama wewe ni muumini katika kuwekeza ardhi basi chukua hii. Chuo kikuu cha ardhi kinatarajia kujenga chuo kishiriki kikubwa saana jijini Dodoma. Eneo walilolenga kujenga lipo wastani wa 25km kutoka njia kuu(lami). Wakazi na wakulima wa eneo hilo tayari washaanza kuandaliwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania DED monduli na tanesco wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katika kijiji cha Makuyuni mkoani Arusha tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni kijiji lakini ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…