ardhi

  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ni maua ya demokrasia yanayochanua katika ardhi ya China

    Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana na kujadili masuala ya mbalimbali ya kitaifa. Kama njia muhimu ya kutekeleza demokrasia ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je mtu akifa, tozo za kodi endelevu kama za ardhi, zinasimama ?

    Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7. Nani alipe ? Kwanini ?
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa ardhi, Geoffrey Pinda: Watumishi wa ardhi msiyumbishwe na misimamo ya kisiasa

    Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Geoffrey Pinda, amewataka watumishi wa ardhi nchini kuacha kuyumbishwa na misimamo ya kisiasa, badala yake wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kusimamia sheria na kutoa maamuzi sahihi kuhusu migogoro ya ardhi. Pia amesisitiza...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi kudhibiti migogoro kibiti

    Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo. Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moja ya mtaji mkubwa sana wa CCM ni sera ya ardhi ya Tanzania

    Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado walikuwa wanashikilia asilimia 70 ya ardhi yote ya nchi hiyo. Serikali ya ANC kushindwa kuwapatia ardhi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wa Tanzania watapanga kwenye ardhi yao kwa mgongo wa uwekezaji

    Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel walikua nje ya Ardhi yao Kwa miaka 1878 , wakarudi mwaka 1948 Kwa azimio la UN, maajabu ni kua hawakupoteza chochote kuwahusu wao !!.

    Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi . Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
  8. Soul21

    JamiiForums Tanzania Ardhi inalia kisa chupa za plastiki

    Picha: My Camera "Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni Kilimanjaro na ni picha ya eneo moja Kama elimu yaijatukomboa fikra zetu basi hata sheria na kanuni...
  9. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  10. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji mijini.

    Habari? Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji. Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi ingependeza kama wangeongeza na Makazi na ufugaji. Katika makazi na ufugaji viandaliwe viwanja vikubwa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanganyika iliponea chupuchupu ardhi yake yote kutwaliwa na wakoloni!

    Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo Namibia! Huu ni wendawazimu.
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ugiriki:Tetemeko La Ardhi Limevikumba visiwa Vya Amorgos Na Santorin

    Tetemeko kubwa la ardhi limerekodiwa kati ya visiwa vya Ugiriki vya Amorgos na Santorini, baada ya siku za mitetemeko mfululizo katika eneo hilo. Zaidi ya watu 11,000 tayari wameondoka Santorini huku karibu 7,000 wakiondoka kwa feri na watu 4,000 wakiondoka kwa ndege. Tetemeko hilo lilifuata...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WATENDAJI ARDHI WATAKIWA KUTOCHELEWESHA HUDUMA KWA MAKUSUDI

    Serikali imewataka watendaji wa sekta ya Ardhi nchini kutochelewesha huduma za sekta ya Ardhi kwa makusudi wakati wanapowahudumia wananchi wanaokwenda kupata huduma katika ofisi zao. Hayo yameelezwa Januari 31, 2025 mkoani Iringa na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa na madini halafu serikali inipangie bei ya kuuza eneo langu na inakuwa ni Amri sio ombi

    Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi. Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

    Wanaukumbi. ⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump: Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of Palestinians into Sinai. Such a move would trigger a second Nakba, an unimaginable tragedy for a...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yashiriki uzinduzi wa wiki ya sheria kwa mwaka 2025

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25 Januari 2025, katika Viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma. Maadhimisho haya yanayoandaliwa kila...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Pinda aelekeza maafisa ardhi kurejesha mawe ya mpaka wa Monduli na Longido

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka ya wilaya hizo mbili yaliyong'olewa na kupoteza utambuzi wa mpaka huo. Naibu Waziri Pinda amesema...
  20. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
Back
Top Bottom