app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama App ya Jamiiforums inakusumbua, tumia hii link

    Salaam Wakuu, Hivi kuna mtu bado anapata changamoto kwenye kutumia application ya Jamiiforums? Kwa wale wa androids tumieni hii link. Acha kulialia https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamii.app2024
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE". Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7. Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
  3. JamiiForums Tanzania New app for learning English: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English. Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua. I'm the author of this course and I feel that it has the potential to have a very positive impact on education in Tanzania, in particular by providing a...
  4. JamiiForums Tanzania App au website ya kudownload hd movies

    Naomba mnisaidie app au website ambayo naweza kupakua hd movies kwenye simu ya android
  5. JamiiForums Tanzania CRDB SIM BANKING APP NINI SHIDA?

    Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
  6. M

    JamiiForums Tanzania NMB App mna shida gani Leo?

    Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma? Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo? Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
  7. JamiiForums Tanzania Mbona App yangu ya SMS imekuwa kama WhatsApp?

    Habari wakuu. Mbona app ya sms imekuwa kama whatsapp. Hata inaruhusu kuunda niunde group. Imekaaje hii?
  8. JamiiForums Tanzania Je, nitumie electron kudevelop desktop App?

    Hii itakuwa mara ya kwanza kuunda desktop app na nataka iwe na uwezo wa kudai licence key sitaki mambo mengi lakini nachotaka ni ushauri maana sikuwahi kuunda desktop app kwa maisha yangu yote. Kinacho nifanya nifikie hatua hii nikwamba nataka user au mteja aitumie kwenye machine yake but...
  9. JamiiForums Tanzania Maada naomba kujuzwa app ya kudownloard video youtube

    wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
  10. JamiiForums Tanzania Nini tafsir ya podcast kwenye app ya spotify? Pia inatumikaje?

    Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini...
  11. JamiiForums Tanzania App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali inakusanya vipi kodi kwenye biashara kwenye app ya Airbnb?

    Hii biashara maarufu na pendwa kwa sasa Tz nauliza serikali yetu inakusanya vipi mapato
  13. JamiiForums Tanzania Mwenye Ipad anikodishe dakika kadhaa nahitaji ku screenshot iOS App

    Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
  14. JamiiForums Tanzania App ambayo inaweza kunisaidia kubadilisha picha ya kawaida kuwa passport size yenye Blue color background

    Naomba kujuzwa Application inayoweza kuniwezeaha kubadili picha ya kawaida na kuwa passport size
  15. JamiiForums Tanzania Ni App gani ya manunuzi mtandaoni, naweza kuagiza bidhaa kama vile Flash disk au T-Shirt , na zikawa Printed kwa Jina ninalotaka mimi?

    Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi. Naomba msaada.
  16. JamiiForums Tanzania WhatsApp locked Chat

    Wadau hivi hii feature mpya katika WhatsApp inazuia namba iliyo katika locked chat isitazame status za mtumiaji aliye add iyo nmba katika locked chat?
  17. JamiiForums Tanzania App ya malipo ya Serikali mtandaoni ina shida kubwa sana, rekebisheni haraka

    Siku kadhaa zilipita nikiwa na piga story ndugu mmoja alisema alikuwa na faini polisi kwa makosa ya barabarani. Siku aliyotaka kulipa faini akakuta faini ile imeshalipwa. Akashukuru sana. Hivi karibuni nimelipa faini kwa hii app na matokeo yamekuwa nimelipa bill ya mtu mwingine hivyo nimeingia...
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya app ya SportPesa, Sokabet na Mbet ipi ina watumiaji wengi?

    Oiii wadau wa majamvi enh nataka nianze kuweka majamvi ila makmpuni yamkuwa mengi sana sahv, Mnashauri nicheze na kampuni gani na kwanini?
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  20. K

    JamiiForums Tanzania TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

    Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…