app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na members wa jukwaa hili

    Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular Nawakaribisha
  2. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Msaada, je Kuna mobile app inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti?

    Assalam Wana jukwaa, nauliza Kuna application ya simu inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti maeneo yanayonizunguka. Kwa mfano tupo kwenye mazungumzo, mtu mmoja akawa anarecord sauti kwa kutumia simu, je naweza kuwa na application ya kugundua uwepo wa simu hiyo au kifaa hicho? Shukran!!
  3. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Mmiliki wa App za mikopo mtandaoni ni bilionea kijana kutoka Tanzania

    Wakuu Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa...
  4. Collin Butondo

    JamiiForums Tanzania Mobile app & Website Designing Services

    At our firm, we are dedicated to delivering top-tier mobile app and website design services that set you apart in the digital landscape. Our approach blends creativity with technology, ensuring that each project is visually stunning and functionally robust. We focus on user-centered design to...
  5. Mtu porii

    JamiiForums Tanzania hii app inaitwaje

    hii app inaitwaje wadau msaada
  6. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Email App

    Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali. - Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb Messenger) - Tick za kuonesha email imeenda lakini haijafunguliwa - Na status zingine nyingi nzuri...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KERO App za mikopo zimekuwa kero kwa watu wasiohusika sasa wanatoa vitisho

    Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi? Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na ambao hawajakubali kumdhamini mkopaji? Soma pia: Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua App au platform ya kufasiri audio to audio

    Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wametoa application yao kwenye App store

    Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC ninasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  12. De Professor

    JamiiForums Tanzania Madudu ya APP za mikopo online.Wizara husika Mnakazi gani ofisini??? #Wizara ya Fedha #Wizara ya Mawasiliano (TCRA)

    Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
  13. Tuni Comics

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Application ya Katuni kwa Watoto Kujifunzia

    Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu. App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia App ya UTT Amis naomba msaada kwenye hili

    WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu! Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya...
  15. nusuhela

    JamiiForums Tanzania App gani ya kutoa mkopo, wanatoa kwa namba ya NIDA?

    Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi. Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee. Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu...
  16. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama una App ya Tigopesa au huna Fanya hivi

    habari wadau , kama unayo app ya Tigopesa cha kufanya update na pia kwa wewe ambae hauna nenda play store download jisajiri kula maisha wanatoa GB 1 masaa 24 nadhani zitakusaidia kukusukuma,
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

    i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know. this could be done in less than a week. & be launched before next season. for trials #note : kama...
  20. The Boss

    JamiiForums Tanzania App za bure zinaingizaje hela?

    Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
Back
Top Bottom