RC Adam Malima, kuwa kama Anna Mghwira na sio kama Martin Shigela

Standards Person

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
673
855
Mh. Adam Malima nakupa hongera kwa majukumu ya siku hata siku nikiamini kwamba ushakaribia Tanga na umeanza majukumu yako.

Ninakuasa uwe kama Mh. Anna Mgwira au zaidi yake kwa kutenda haki na kukaripia viongozi wasio kua na utu wala uadilifu kama Sabaya. Mh Mgwira alikemea hadharani vitendo viovu tofauti na Shigela amefika Tanga kuongeza migogoro ya ardhi akipelekwa mzobemzobe na mkurugenzi aliyepo sasa bwana Daudi Mayeji.

Mh. Malima usije ukawa mdhaifu kwa kulambishwa vitu vya Tanga, utajikuta unaonekana kama picha ya mkuu wa mkoa na sio mkuu wa mkoa(kama Shigela na DC wako wa Tanga). Jiji lilikua linaongozwa na Mayeji, Tony wa mipango miji na mwanamke mmoja hivi ambaye anajulikana na ukiuliza utaambiwa kwani ndio mshauri wa mkurugenzi na akimtuma kazi mkurugenzi lazima atekeleze. Usipokua makini mwanamke huyo atatumwa kwako kama kada (yatokee ya Samsoni na Delila kama wenzako)

Mh. Malima maliza migogoro ya ardhi Tanga. Kemea ngono kazini hasa kwahuyo mkurugenzi wa Tanga mjini na wakuu wa taasisi. Mkemee aache uonevu kwa kufukuza waume za watu kazi na kuchukua wake zao. Kemea kukataa kuwapa watu haki zao kwasababu zake binafsi.

Mfuatilie nyendo zake yeye na kikundi chake umshauri vyema Mh. Rais achukue hatua kama ilivyokua kwa Sabaya. Watu wa Tanga baadhi wameumizwa sana na Mayeji. Ikitokea ikaundwa Tume huru ya kumchunguza mkurugenzi huyo, Tanzania itashangaa kwamba Sabaya hakua peke yake.

Tanga waandishi wa habari hawatakiwi hivyo hakuna anayetoa ripoti. Wakitafutwa na waandishi wanawatuliza na habari hazitoki. Shigela na Mayeji waliendana. Angalia usije ukashikiwa akili na Mayeji.

Ninarudia kusema Mh. Malima jipe muda umchunguze vizuri Mayeji na wapambe wake ili uweze kutenda haki. Atakujia na kivuli cha ukada, mkwepe usimuendekeze kwani hata Ummy Mwalimu ameshindwa sio tu kumshuhulikia lakini hata kumkemea.

Karibu sana Tanga Mh. Malima
 
Mh. Malima maliza migogoro ya ardhi Tanga. Kemea ngono kazini hasa kwahuyo mkurugenzi wa Tanga mjini na wakuu wa taasisi. Mkemee aache uonevu kwa kufukuza waume za watu kazi na kuchukua wake zao. Kemea kukataa kuwapa watu haki zao kwasababu zake binafsi.
 
Mh. Malima maliza migogoro ya ardhi Tanga. Kemea ngono kazini hasa kwahuyo mkurugenzi wa Tanga mjini na wakuu wa taasisi. Mkemee aache uonevu kwa kufukuza waume za watu kazi na kuchukua wake zao. Kemea kukataa kuwapa watu haki zao kwasababu zake binafsi.
Ugonjwa mkubwa wa mheshimiwa Malima Ni wanawake.(Moro) Mkimtega na mmoja au wawili wanaojua kulia kidigo tayari atakua ameingia kingi.
 
Ugonjwa mkubwa wa mheshimiwa Malima Ni wanawake.(Moro) Mkimtega na mmoja au wawili wanaojua kulia kidigo tayari atakua ameingia kingi.
Msishangae Adam Malima kuwa mkware!! A fruit falls very close to its tree; Ukijua historia ya kifo cha baba yake Kighoma hutashangaa.
 
Msishangae Adam Malima kuwa mkware!! A fruit falls very close to its tree; Ukijua historia ya kifo cha baba yake Kighoma hutashangaa.
Aisee kama akiwa mwepesi hivyo,kuna lishangazi hilo likijua basi litamteka kirahisi. Likiingia ni mazima maana lilishabikia mumewe aachishwe kazi ili lijinafasi na bosi. Yani Tanga kuna vituko vingine hajafanya Sabaya.
 
Malima akitegewa mbususu za kitanga hachomoki moro walimuibia hadi bastola enzi akiwa naibu waziri
Umenikumbusha mbali enzi kitambo kileeeee. Nimempa angalizo tena awe makini maana itatumika gea ya ukada.

Bahati mbaya kwa watu wa Tanga nikwamba DC sio mtendaji, haongei kwa mkurugenzi.Uzuri sijamsikia kwa mambo hayo ya mashangazi ila tu amekaliwa kooni na mkurugenzi tena vibaya sana.
 
Bora tu aondoke hakuna atakachokumbukwa nacho TANGA.
Mkuchika bado anakumbukwa sana.
Shigela akwende zake na mashangazi kama yanamtaka yamfuate Mologolooooo mji kasolo bahali

Moro wapewe pole maana hata wauane hatamuona akikemea MTU

Tanga atakumbukwa kwa kuaaisi na kupalilia migogoro ya ardhi na rushwa kufanyika hadharani. Takukuru kukosa meno Tanga na ngono kazini kwahayo na mengine mabaya atakumbukwa.
 
Malina nakumbuka aliibiwa gesti Moro

Aliibiwa dola,mamilioni ,mipete na bastola 2

Hapo tanga Malima watamtumia mwanamke kazi Kwisha

Maana anonekaana Ni mdau Mambo yaleeee
 
Tanga kuna wadada hatari sana aisee !?? Umakini ni muhimu kuna mmoja alitaka kuniteka kabisa miaka hiyo ni hatari sana pia akikupenda "anakuvunja" kabisa ukienda inje " machine" haifanyikazi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom