anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mlevi anahitajika

    Wasalaam. Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar. Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar. Mahari alipo ni Kakola Shinyanya. Karibuni walevi...
  2. kali linux

    JamiiForums Tanzania Anahitajika social media and content manager wa kike

    =========UPDATE======== NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE. ================ Hello bosses and roses... Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo)...
  3. 10 kilotons of TNT

    JamiiForums Tanzania Senior Project Coordinator anahitajika

    Kampuni ni ya nje inamilikiwa na wa Bangladesh ina miradi inatekeleza nchini hivi sasa, kwa ambaye yuko tayari ana vigezo anaweza kuomba.
  4. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa Kazi Za ndani

    Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane. Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
  5. Kumi4

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia bustani ya mboga mboga anahitajika, eneo kibada, mshahara 100,000

    Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
  6. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa Hoteli anahitajika haraka

    Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au...
  8. kuntakinte9320

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Habari natafuta mwanamke umri kuanzia 25 mpaka 30 nahitaji mwanamke wa kuoa nimeajiriwa kazi yangu ni daktari(MD).naishi dares salam
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ajira: Anahitajika Dr wa mifugo

    Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba...
  10. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Economics Anahitajika

    Nahitaji mwalimu wa Economics kwa ajili ya kumfundisha kijana wangu. Umbali siyo tatizo, anaweza akamfundisha hata online kupitia whatsapp n.k Mwenye sifa awasiliane nami whatsapp kwa namba: 0653250566. Aandike ujumbe mwalimu wa Economics nitaelewa.
  11. L'AMOUR

    JamiiForums Tanzania cashier (preferably a lady living in Arusha)

    Wakuu habari, Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Senior Auditor Anahitajika

  13. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania FREELANCER WA ZANZIBAR ANAHITAJIKA

    Habari wanaJF NInahitaji mtu mwenyeji wa zanzibar, awe anauelewa kidogo na taaratibu za kiserikali zanzibar. Call 0693410889
  14. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Nakuja mara ya pili Mchumba anahitajika

    Nakuja mara ya pili Mimi ni kijana wa miaka 33 Kazi: Umachinga,Udereva na utalii Dini : Mkristo Mkazi : Arusha Kabila : Mchagga Elimu : Diploma Vigezo vya mchumba Awe zaidi ya 23 Na isiyozidi 29 Dini awe mkristo Mkazi awe wa Arusha Asiwe na mtoto tu Kabila,Elimu na rangi sio issue saana Ukiwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aelewe Ukomo wa Madaraka siyo kwa wenzake tu hata yeye anahitajika kupisha Damu Changa

    Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri, na hivi karibuni kanifurahisha aliposema hata akishindwa hatatoka CHADEMA ingawa kwa analysis...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuoa anahitajika, awe na Garden Love

    Wakuu kwema? Kuna ndugu yangu anatafta mwanamke wa kuoa lakini shart lake awe na garden love za kutosha. Nawasilisha.
  17. G

    JamiiForums Tanzania Mume na Baba wa familia anahitajika

    Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo. umri kuanzia miaka 33 hadi 40 awe Mkristo Elimu kuanzia bachelor degree na.... awe ameajiriwa/kujiajiri kama hana mtoto au anaye ni sawa awe mrefu. Mimi miaka 33,mkristo,sina...
  18. M

    JamiiForums Tanzania exporter wa kahawa anahitajika

    anahitajika exporter coffee
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania Wakili best wa kesi za Ardhi anahitajika...

    Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana... Natanguliza shukran
  20. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Physics na Mathematics (form 1-6) anahitajika mshahara mnono.

    . Expired
Back
Top Bottom