anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

    Vigezo; 1. Miaka 30 Mpaka 41 2. Amezaliwa Mara ya Pili. 3. Amejazwa Roho Mtakatifu. 4. Amebatizwa Maji Mengi. 5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa. 5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji. 6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dereva anahitajika Hotelini

    Dereva anahitajika kuendesha gari daraja la CAu D umri miaka 40 mpaka 50 itafaa kubeba wageni kupeleka airport. 0754290084
  3. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania ANAHITAJIKA MTU WA MARKETING IN SOCIAL MEDIA HARAKA.

    Happy Sunday Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni. Hakuna vigezo vingi -awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk. -Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media. location : Darces salaam Salary kwa...
  4. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Kike (House Keeper) Anahitajika Haraka. Mshahara Mzuri

    House KEEPER ANAHITAJIKA. Umli miaka 22-30 Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk. Karibu sana UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
  5. Achimwene2014

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa simu mpya aina ya Infinix anahitajika

    Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Youtube content creator

    Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
  7. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania A serious woman to Marry is needed

    I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those. should be aged 25 to 30. Able to understand shortly and hardworking. Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer...
  8. greater than

    JamiiForums Tanzania Architect specialized in 3D Visualization, anahitajika...

    Kama kuna dogo yoyote ambaye ni mhitimu wa fani ya Usanifu majengo.... Mwenye uwezo wa kufanya 2D na 3D render, Amemaliza kuanzia mwaka 2020 Anicheki inbox chap chap
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

    Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀 Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei tutajadiliana ilimradi pauzike 0622905303
  10. Wernery G Kapinga

    JamiiForums Tanzania Mwenye taaluma ya housekeeping anahitajika

    Mwenye taaluma au Uzoefu wa House KEEPING ANAHITAJIKA. Kituo Cha kazi ni Wilaya ya MBINGA RUVUMA. Kwa mawasiliano zaidi 0621538913 Mshahara Mnono mnoo. Karibu sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mpishi mzoefu wa kupika kwenye Mgahawa

    Mpishi mzoefu anahitajika, Kupika kwenye Mgahawa, mahali, Kivule Bomba mbili, Dar es salaam. 1. Ambaye atakuwepo masaa 24, 2. Ajisimamie mwenyewe. 3. Atafute mwenyewe, wafanyakazi atakaofanya nao. 4. Afanye aina zote za vyakula, vinywaji. Chips na aina zote za vyakula mchana, Asubuhi aina zote...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kusambaza Viazi vitamu na Magimbi

    Salaam, Ninao wateja wa uhakika kwa baadhi ya hotel za hapa D'salaam na makazi ya watu(apartiments nyingi) Anatafutwa mpeleka mzigo kwa baadhi ya ofisi pale mtaa wa Nkurumah( Aura tower, Rissa tower....etc) na jengo la TPA posta. Anitafute PM, kwa mawasiliano. Pia kwa wanaohitaji mzigo kwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Mimi ni mwanaume miaka 37 mwajiriwa serikalini, ninae mtoto mmoja wa kiume miaka 14 sasa, mkatoliki. Naomba mwanamke mwenye uhitaji aje tuzungumze 0769499326
  14. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa photography na videography

    Habari wana JF, Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa photo and video shooting kuna fursa hapa Location: Dar es Salaam Piga: 0625544723
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mke bora anahitajika

    Habari ndugu zangu, Waswahili wanasema katika maisha ni muhimu kuwatafutia wanao mama aliye bora. Na hivyo bila hiana nimeona humu JF naweza pata mke bora maana naamini humu watu wenye sifa ya kuwa wake bora wapo wengi hivyo kama una sifa hiz karibu; 1. Uwe muislamu 2. Uwe na rangi atlest...
  17. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Private Lecture Quantitative Technics anahitajika haraka

    Habari wa jukwaa natumaini ni wazima,Nina kimeo carry ya quantitive Technics Postgraduate natakiwa ndani wiki mbili zijazo nikafanye mtihani,please naomba nipate mwalimu wa kunibrush niweZe kuchomoka, 2hrs per day ,Malipo ni mazuri nikichomoa supplementary bonus pia nitatoa Natanguliza...
  18. The bump

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Usiku anahitajika

    Muda wa kazi Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu Mshahara 200,000 Mawasiliano: PM Eneo la kazi: Mbezi Mwisho VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-binti-mwenye-uzoefu-na-kazi-ya-uwakala-wa-pesa-mitandao-yasimu-na-benki.2212350/
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania 2D animator anahitajika

    Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/= Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Girl friend anahitajika baadae awe mke

    Sifa za mwanamme Mrefu maji ya kunde, Elimu degree, Umri 30, Mpole na mcheshi, Kajiajiri,kipato cha kubadilisha mboga tu. Makazi Dodoma Sifa za mwanamke anaehitajika Elimu kuanzia form four Umri kuanzia 20 - 35 awe smart Dini yeyote,rangi yeyote kimo chochote Akiwa na mtoto asizidi mmoja...
Back
Top Bottom