anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

    Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50. Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
  2. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Habari! Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo, 1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50. 2. Awe mkristo 3. Asiwe na ndoa 4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato Mengine tutajuzana PM, karibu.
  3. Mwendece

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo Morogoro Mjini anahitajika

    Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi. mwenye uhitaji huo nicheki...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bado dada wa kazi anahitajika

    Eneo la kazi Dar, Tegeta Mshahara elfu 60 Nyumba ya watu wawili Hakuna mtoto. Kwa mawasiliano au kama kuna mtu anaye nicheki pm tafadhali UPDATE: Shukrani kuna mdau humu amenisaidia amepatikana mdada tayari. Tubarikiwe sote!
  5. Johnyyy

    JamiiForums Tanzania Anahitajika dereva wa mkataba jijini Arusha

    Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
  6. Johnyyy

    JamiiForums Tanzania Anahitajika dereva wa mkataba Arusha

    Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
  7. Mesut90

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kazi za nyumbani

    Anahitajika msichana wa kazi kutoka sehemu yoyote ndani ya Tanzania. SIFA: umri kati ya miaka 18- 25 Mshahara: 70,000 (elimu ya darasa la saba kushuka chini) au 100,000 (elimu ya o'level) Eneo la kazi: Tanga mjini Awe tayari kuhama mkoa ikiwa muajiri atahamia mkoa mwengine. Malazi na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Dada wa kazi anahitajika

    Mahali pa kazi ni nyasaka karibu na soko jipya. Tuwasiliane kwa miongozo ya kazi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika 'Uhakika 100%'

    Habari ya wakati huu, Ninahitaji mwanamke ALIYE TAYARI KUISHI MAISHA YA WAWILI kwa sasa. Naposema kwa sasa namaanisha kwa muda mfupi tuanze kuishi pamoja. 0623 935 605 Sina mambo mengi isipokuwa vigezo vichache hapa chini:- a. Umri 23-35 b. Uwe huru na Usiwe na ndoa inayoendelea c. UKWELI NA...
  11. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Mdada wa Stationery anahitajika haraka

    Ofisi ipo Mbezi Goba. AWE MA SIFA ZIFUATAZO 1. Awe anaweza kutype kwa spidi. 2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet 3. Awe ana uwezo wa kudesign. 4. Awe anaweza kuprint. 5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy. 6. Awe anaweza kuscan. 7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe. 8. Awe anaweza...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa ( kike ) anahitajika ndoa ni haraka iwezekanavyo

    Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya, SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi UMRI : 30 MAKAZI : Dar es salaam SIFA ZA MCHUMBA / MKE MTALAJIWA
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu/Mlezi wa Day Care center anahitajika

    Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika Shule: Tiger Day Care Wapi: Dar- kinondoni-kawe Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto. Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa Kike anahitajika

    Rafiki wa kike anahitajika umri kuanzia miaka 18 mpaka 50 Awepo maeneo ya Dar Dini yoyote kabila lolote Karibuni pm
  15. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike anahitajika

    Mfanyakazi wa kike anahitajika Mawasiliano: 0684054688
  16. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kazi mwadilifu wa kulea watoto wawili

    Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini. Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam Idadi ya watoto: Wawili Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
  17. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

    Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi. Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2. Kazi nzuri. Kutuma Maombi fungua link hapa chini... https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
  18. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mtu anayejua accounting packages anahitajika

    Natafta mtu ambaye anazifahamu accounting packages vizuri na mwenye uzoefu na kuzitumia especially tally naomba tuwasiliane kuna mchongo.
  19. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

    Habari zenu. Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika. Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini). Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
  20. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Jinsia Me: Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana) Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living) Sio mweusi sana na asijichubue Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
Back
Top Bottom