anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Dereva wa bajaji na pikipiki ya mkataba anahitajika

    Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji. Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    View Vacancy - Chef (08/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not...
  3. kabugira

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  4. germanium

    JamiiForums Tanzania Mke/Mchumba anahitajika

    Natafuta mke/mchumba; 1. Awe na miaka 25-36. 2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD). 3. Awe kajiajiri au muajiriwa. 4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini. 5. Awe mtu mwema na open minded. 6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara. Mimi: 1. Nina degree ya Engineering...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwenye uchimbaji wa dhahabu anahitajika

    Habari ya muda huu GreatThinkers Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35. Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo ambayo aliipata toka kwa local company. Heka 5 tayari zimeshatengwa kwaajili ya uchimbaji (binafsi) na...
  6. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sekretari anahitajika

    Tangazo la Nafasi ya Kazi Anahitajika Secretary Mwenye ujuzi wa miaka isiyopungua miaka 3 kazini, Awe amesoma kwenye vyuo vinavyotambulika hapa Tanzania au nje. Umri usiopungua miaka 35 na usiozid miaka 50 Eneo la kazi: Bagamoyo Mshahara ni maelewano Tuma CV yako kupitia sajocbc@gmail.com...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sekretari anahitajika

    Tangazo la Nafasi ya Kazi Anahitajika Secretary Mwenye ujuzi wa miaka isiyopungua miaka 3 kazini, Awe amesoma kwenye vyuo vinavyotambulika hapa Tanzania au nje. Umri usiopungua miaka 35 na usiozid miaka 50 Eneo la kazi: Bagamoyo Mshahara ni maelewano Tuma CV yako kupitia sajocbc@gmail.com...
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kiarabu, kizungu au shombe anahitajika haraka sana

    Wana JF Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au mzungu ili aoe. Yeye umri wake 46, anao watoto 2. Wataongea wafahamiane wakikubaliana tabia basi...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Supplier wa mifuko (viroba) ya kilo 25 na kilo 50 wa jumla jumla anahitajika

    Mambo yasiwe mengi, Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara. Karibuni.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Secretary Anahitajika

    Sifa za Muombaji: Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications Awe na umri kati ya miaka 18 - 25 Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu Mshahara utategemea na sifa za...
  11. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania 🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

    Salaam, Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara. Hii siyo ya kukosa. Kama una skills hizo, karibu PM.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Programmer/ Mtaalamu wa java EE anahitajika!

    Habari zenu wana jamvi. Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to makubaliano. Kwa kifupi nature ya kazi ni ku-customize mfumo ambao upo na unatumika tayari na taasisi...
  13. DEFENDAX

    JamiiForums Tanzania SERIOUS: Mchumba (mwanamke) anahitajika

    Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26 Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku Rangi - Maji ya kunde Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi Sifa za ninaemuhitaji, awe ni mwanamke mweny sifa hizi; Umri angalau kuanzi miaka 25 kushuka chini Mweusi, akiwa maji ya kunde...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Fundi wa samani za ndani anahitajika

    Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam. Sifa Nidhamu ya kazi Msikivu Mkazi wa Dar
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi: Anahitajika Afisa Masoko na Mauzo (marketing & sales) - Mwanza au Dar es Salaam

    Hello! Wana JF. Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili lipo kwenye attachment.
  16. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chekechea anahitajika.

    Habari za leo? Mwalimu wa Chekechea ya English Medium (shule ya awali) anahitajika kwenye shule iliyopo Kilapula,Tanga. Anahitajika mwalimu mwenye taaluma ya ualimu na mzoefu na watoto. Mwenye sifa tajwa tuwasiliane PM.
  17. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  18. mitindo huru

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization. IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda...
  19. Investaa

    JamiiForums Tanzania App and Laravel Developer anahitajika haraka. Awe Dar

    Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu. Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
  20. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za miamala

    Habari wakuu, Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za financial transatcions awe mwanamke eneo la kazi ni Dar es Salaam.
Back
Top Bottom