Peleni na majukumu.
Natatafuta mtu mwenye ujuzi na programu ya MATLAB, sana sana kwenye Signal processing.
Lengo ikiwa ni kutengeneza project.
Kama unaujuzi huo na unaweza kuniongoza kujenga project kwenye programu husika naomba uni PM, malipo yapo.
mwalimu anahitajika mwenye sifa kuu zifuatazo
*elimu ya cheti au diploma
*awe na uwezo wa kuwafundisha matukio watoto ya kwenye mahafari( garaduation)
*awe na uwezo wa kufundisha masom ya baby mpaka pre unity
*mshahara ni maelewano
*simu 0686138399
*eneo ni dar- kinondon- kata ya kawe.
1.Anahitajika mwalimu anayeweza kufundisha o level Chemistry na Mathematics
2.Starting salary 400,000/= wakati wa probation ya miezi mitatu
3.Shule iko kibaha
4.Nitumie Cv yako inbox
Ndugu habarini.
Nina kamgahawa kangu.
Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi kama anaweza pia kupika wali mzuri sufuria kubwa kuanzia kilo kumi na mapishi mengine.
Malipo...
Ndugu zangu nimekwama, tena nimekwama haswa. Nimegadhibika pasina mfano 😠😡, mimi si mtu wa kwenda vilingeni ila kwa hili Mola wangu anisamehe sana.
Shambani nina minazi takribani 100 ila siambulii kitu,
Hawa waduwanzi naona sasa wanaleta mazoea yasiyovumilika. Zamani kila baada ya miezi mitatu...
Sifa
Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k
Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea
Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam
Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati
Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi...
Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje.
1. 200,000 Tshs kwa hiyo Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili atakayokuja.
2. Hakuna mshahara wala...
Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye negotiation ya kuhamia yanga kwa kupewa millions 60, gari kali pamoja na kupangiwa nyumba masaki
Wengi...
Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani.
SIFA ZAKE
Awe smart kichwani...
Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023
Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha
Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi...
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
Habari za asubuhi wakuu,
Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita.
Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa.
Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50.
Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato
Mengine tutajuzana PM, karibu.
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.