ameshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  2. H

    Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  3. Sky Eclat

    Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha. Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Habari za Sabato! Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara. Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka. Tatizo nililoliona lipo kwa...
  5. R

    An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

    Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela! Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
  6. L

    Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
  7. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

    Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
  8. Dalton elijah

    Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  9. T

    ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  10. M

    Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  11. sinza pazuri

    Lissu amefeli, CHADEMA ipo vipande vipande ameshindwa kuiunganisha

    Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu. Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja. Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna...
  12. ELI COHEN

    Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  13. secretarybird

    Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  14. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  15. M

    Baadhi ya mambo ambayo Freeman Mbowe ameshindwa kuyasimamia

    1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019. Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake, akakaa kimya) 2. Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Mfumo wote wa uchaguzi uliharibiwa. Freeman Mbowe...
  16. Lycaon pictus

    Mbowe hata akishinda atakuwa kama ameshindwa tu.

    Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
  17. Kipenzi Changu

    Mh. Mbowe kama ameshindwa kutimiza malengo makuu ya Chama, kutaka tena si uroho wa madaraka?

    Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
  18. Tulimumu

    Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu. Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  20. Brojust

    Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

    Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini? NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila...
Back
Top Bottom