amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maradhi ya Masikio Kupiga Makelele(TINNITUS)

    Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele, mtu husikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine anazisikia zaidi ya mhusika mwenyewe. Je unasumbuliwa sana na tatizo la Masikio kupiga kelele? haupo...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  3. JamiiForums Tanzania Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school?

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept inside for the future of Africans & the generation unborn when I listen to this.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wenzangu Wanaumwa na Maradhi ya Kichwa Hebu jiangalie Jinsi Kichwa Chako kianavyo Uma

    UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA. UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE USINGIZI WA KUTOSHA. UKIUMWA NA KICHWA KWA NYUMA KISOGONI INAONYESHA KUWA UPATE MUDA WA KUTOSHA...
  6. JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Leo

  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

    Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani! Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha...
  8. JamiiForums Tanzania Ukistasjabu ya Musa utayaona ya firauni tobailai Mtoto wa miaka 17 wa kiume bado ana nyonya kwa Mama yake mzazi

  9. JamiiForums Tanzania Ukiokota Pete yoyote Njiani Tafadhali usije Kuivaa itakuletea madhara mwilini mwako

    Huyu kavaa pete ambayo ni pete ya mtu aliye kufa ameiacha itakuwa ni Pete ya shetani sasa kidole kimetoka hatari usivae pete ya mtu mwengine unaweza kupata shida kama hiyo.
  10. JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo

    Leo afadhali kimetoka kiji-Jua kidogo hali ya hewa nzuri.
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia

    Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua. Watoto lakini pia watu wazima wanaweza kuugua ugonjwa huu. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani, Watoto 740,000 walio na umri wa chini...
  12. JamiiForums Tanzania Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani?

    Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani? Maelezo ya picha, Uuzaji wa pipi za pamba umepigwa marufuku katika jimbo moja huko India Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na Idara ya Usalama wa Chakula katika jimbo la Tamil Nadu nchini India, umebaini...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

    Kwa nini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron? Maelezo ya picha, Vradimir Putin Mvutano kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na NATO unaonekana kuongezeka kwa mara nyingine tena huku Putin akiwa tayari amesema iwapo NATO itatuma wanajeshi kuisaidia Ukraine, hatari...
  14. JamiiForums Tanzania Uvimbe katika Mayai Ya Mwanamke (Ovarian Cyst)

    FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST ) Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst...
  15. JamiiForums Tanzania Fibroids, uvimbe kwenye kizazi unaowatesa wanawake wengi Duniani

    FIBROIDS:UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika nyumba ya uzazi. Uvimbe huo,ambao si saratani, umekuwa ni tishio kwa maelfu ya wanawake nchini jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Usimchezee Mamba, atakutafuna

  17. JamiiForums Tanzania Mfanyakazı wa ndani awanywesha mkojo mabosi wake, wamkamata

  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia; Mwalimu Mkuu wa Kitinku awafukuza shule watoto wa Mzee Salum kwa sababu wanakwenda kuswali siku ya ijumaa

    Je Sheria ya nchi inasemaje ? soma hapo chini 👇 ASalam Alaykum, Hongera nyingi sana kwa ndugu yetu wa imani ya kiislamu kwa jihad kubwa aliejitolea wa ujasiri mkubwa kuongea hayo bila oga na hatimaye natija yake ameamsha usingizi hisiya ya siyo ya viongozi na Mashekh wetu tuu bali hata...
  19. JamiiForums Tanzania Wachawi wanavyokujia usiku ukiwa umelala usingizi Wanakuchezea mwili wako wanavyotaka

  20. JamiiForums Tanzania STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani?

    STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani? Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa kutosikia matibabu ni tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STDs) au (maambukizi ya zinaa)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…