amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dalili 5 za Mtoto anayechukuliwa na Wachawi Usiku

    DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU. 1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha tukaenda tukaruka kama ndege. Ikiwa story hizi anazieleza mara kwa mara usidharau ukasema ndoto tu...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Masheikh waja juu, wataka Serikali iache kuingilia masuala ya Dini nchini

    Masheikh nchini wameitaka Serikali kuacha kuingilia masuala ya dini nchini na kuitaka iheshimu ili utulivu uendelee kudumu nchini. Wametolea mifano masuala mbalimbali mfano utolewaji wa elimu ya dini mashuleni kwa kuanzisha mitaala mipya itakayosomesha dini mashuleni. Sheikh Pomba amesema kama...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Urusi alivyokwenda iran na ndege 4 za kivita zinamlinda kwa juu

    Mbabe wa dunia huyo Hakuna anaye muogopa.
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Siku 100 tangu israil ivamie Gaza na kuuwa zaidi ya Watu 10.000

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Mbuzi amefia kwa muuza supu, sijui itakuwaje atapona huyo Mbuzi?

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 Zenye Amani Duniani Tanzania haipo Kwenye Nchi Zenye Amani.

    NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa wao na hata serikali zao, zinajali wananchi wake na mali zake,zinawasikiliza wananchi na hamna wizi...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso akopa Tractors 400 ili nchi yake iwe na Maendeleo Mazuri

    BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON. https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Isiwe Tabu Maiti Zingine huwa zinachukuliwa Msukule imebidi tupate ruhusa kwa vyombo vinavyo husika tumfukuwe Marehemu.

    Isiwe Tabu Maiti Zingine huwa zinachukuliwa Msukule imebidi tupate ruhusa kwa vyombo vinavyo husika tumfukuwe Marehemu Tuhakikishe Je Amekufa kweli ?au amechukuliwa Msukule?
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kisiwa chenye raha sana na historia ndefu

  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayesema ukweli Kuhusu Kupata Utajiri Makanisani na Mungu. Mzee Wa Upako

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Israil Taifa Teule Lililobarikiwa na Mungu

  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baadhi ya Nchi za Kiarabu Haziwaungi Mkono Wa-Palestina?

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua dereva katika moto.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Burundi walinunuwa Kanisa na kuufanya kuwa Msikiti

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Afya ya mwanamke: Vitu vitano mwanamke anatakiwa kujua katika sehemu zake za siri

    kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Tanzania na Wachungaji wa Kenya

  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    "...uwe na uwezo wa kuwaambia jamaa zako na marafiki zako, Ikulu ni mahali patakatifu, Mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Watanzania kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi.."
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wale mnaotaka kuja Ulaya kufanya kazi na hamna elimu, kazi pekee mtakayopata ni kuzoa taka

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sababu ya maambukizi (infection) ya sikio kwa watoto

    MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Bonde la Mkwajuni lafurika maji

    Serikali hili jambo imelifumbia macho halishughulikiwi kabisa Serikali ya CCM imelala usingizi mnono.............................
Back
Top Bottom