alizeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanufaika wa BBT waanza kuvuna ekari 620 za alizeti Chinangali Dodoma

    Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a Better Tomorrow -BBT) imeanza kuneemesha wanafuika wa programu hiyo kwa kuanza uvunaji wa zao la alizeti tarehe 19 Juni 2024 katika shamba la Chinangali mkoani Dodoma. Vijana hao wa BBT ambao wako chini ya Chama chao cha Ushirika cha 'Chinangali...
  2. JamiiForums Tanzania Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  3. JamiiForums Tanzania Ujugu Arena: Umetoka kupakwa mawese,Leo unapakwa alizeti na tarehe 20 unapakwa parachute

    Siyo Mimi Mjumbe hauwawi NB: Miye ni mwanayanga ila Nina wasiwasi na hiyo tarehe 20 matokeo yanaweza kuwa kinyume Yanga anaweza chezea parachute Aahaaaa Ihefu msiniangushe,zile tano tulizowaparachute nazo ebu zilipeni hapa GGIhefu aka Singida Black. Stars
  4. JamiiForums Tanzania Nina alizeti nataka kukamua

    Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
  5. JamiiForums Tanzania TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, serikali itaruhusu mafuta ya Alizeti kutoka Marekani yaingizwe nchini na kupelekwa Dodoma wakati Singida wauzaji wanakosa soko?

    Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni. Je, kama sovereign state tutaruhusu kuletewa mafuta ya alizeti ambayo hata Dodoma na Singida yapo? Hii misaada nani huwa anakwenda...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti. Haya yamebainishwa bungeni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta bora ya alizeti kwa mapishi yote

    Mwana JF, Je Wajua? Kuchakata mafuta ya alizeti au mafuta mengine yoyote ya mimea (oil refinery) ni hatua muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa mafuta kwa matumizi ya binadamu. Je, unafahamu faida za mafuta yaliyochakatwa (refined oil) ukilinganisha na yale yasiyochakatwa? Kuchakata mafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  12. JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  13. JamiiForums Tanzania Huduma ya kukamua mafuta ya alizeti

    Natafuta watu wanaofanya huduma ya kukamua mbegu za alizeti Dar.
  14. JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

    Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875 Karibuni sana, bei ni maelewano. Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

    Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa. MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya alizeti

    Habari Aise naombeni kujua bei ya alizeti. Tafadhalini
  19. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Alizeti kwa bei ya jumla

    Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti. Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana. Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
  20. JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti - lita 20-72,000

    Kwa anaehitaji mafuta ya alizeti pure. Lita 20 - 70,000 Lita 5 - 22,000 Karibu sana: Kwa walioko Daresalaam tu. Call: 0752329591.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…