Tunauza Alizeti kwa bei ya jumla

Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti.

Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana.

Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
Najaribu kukucheki dm sikuoati nicheki
 
Weka bei ya hizo bidhaa hapa, mambo ya Pm ni baada ya mtu kujua bei!
Otherwise huu uzi ungewaazishia watu kwenye pm zao!
Mkuu kipindi hichi tunamalizia Stock ya Mwaka Jana, Ila kuanzia next week Bei zitashuka Tunaanza kuingiza Sokoni Mzigo wa Mwaka huu, Ndio maana. Nasubiria Mzigo mpya Week ijayo , Na Bei itakuwa Chini sana kulinganisha na Bei za sasa
 
Sawa, weka bei iliyopo sokoni kwa sasa ya alizeti, mashudu na mafuta.
 
Sawa, weka bei iliyopo sokoni kwa sasa ya alizeti, mashudu na mafuta.
Alizeti Gunia 73000/= Mashudu KG 300/- Hadi 200/= inategemea na kiasi unachochukuwa, Mafuta ltrs 20 Bei 72000/=
Mahindi Gunia 90000/= mapya, Mahindi ya mwaka Jana 110,000/=
 
Hizo Bei kufikia tarehe 27/04 zitapungua sana, tunategemea mvua ikipungua Kasi ya uvunaji mahindi na Alizeti itaongezeka. Watu wanategemea jua litawasadia kukausha Alizeti na Mahindi
 
Back
Top Bottom