alizeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti

    Hello wapendwa, Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa. Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha alizeti (sunflower) sesemi (ufuta) and palm oil (michikichi)

    Habari wakuu, Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa nimetaja hapo juu, alizeti, michikichi, na ufuta. Tuko na ardhi tele yenye rutuba, na yenye uwezo wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    PATA FAIDA KUBWA KUPITIA KILIMO CHA ALIZETI. KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA AROBAINI (140,000) KWA HEKALI MOJA NA KUPATA ZAIDI YA MILLION MOJA NA LAKI NNE (1400,000/=) KWA SIKU TISINI (90). Ndugu Wapendwa hapana shaka ya kuwa mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania.Ikiwa ni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti

    Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ni wapi katika Mkoa wa Dodoma na Wilaya zake panapoweza kulimwa alizeti kwa tija?

    Ndugu wanajamvi, Nimehamasika sana na ushauri uliotolewa hivi karibuni na mh. Waziri mkuu Majaliwa kwamba sasa ni zamu ya watanzania kutajirika kupitia zao la alizeti. Naamini huu ushauri umekuja baada ya hali ya bei ya mafuta inchini kupanda sana kwa kipindi kifupi. Mimi ninaishi Arusha...
  6. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Heka 1 ya alizeti mavuno kg 800 ~ 1000 bila kutumia mbolea

    Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya. Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia "Hii alizeti mbegu siijui jina ila namimi niliomba kwa mtu na haoa unaiona sikutumia Mbolea na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sasa ni zamu ya alizeti

    SASA NI ZAMU YA ALIZETI -Waziri Mku Alitaja Zao Hilo Kuwa Mwarobaini Wa Tatizo La Mafuta -Aelekeza Kufanyika Tafiti Za Mbegu Zenye Mafuta Zaidi -Aeleza Malengo Ya Kuzalisha Tani Milioni 1.5 Za Alizeti,mafuta Tani Laki 3 Kufikia 2025 SINGIDA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti inauzwa shilingi ngapi na wapi zinapatikana?

    Habari zenu waungwana, Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti inauzwa shilingi ngapi na wapi zinapatikana?
Back
Top Bottom