akili

Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.

Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).

Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:

  • Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
  • Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
  • Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
  • Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
  1. Sijali

    JamiiForums Tanzania Si vibaya kuajiri akili kubwa kutoka nje!

    Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri. Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri katika Wizara na sekta nyingi Tanzania. Ukichunguza vizuri utaona mapungufu hayo kwa kweli yanatokana na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nilichoamua kufanya baada ya kugundua sina uwezo wa kipesa wala akili za kiubunifu za kuikomboa jamii

    Naipenda sana jamii yangu Nilitamani sana kuwa mwenye mchango katika jamii lakini bahati mbaya mpaka naingia utu uzima sikufanikiwa kutoka kimaisha na kuweza kuifanyia jambo la maana. Niliangalia shughuli niifanyayo, kwa mifano hai ya waliotangulia kuifanya kabla yangu, HAKUNA KUTOKA...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mshahara unaongeza 8,000 halafu makato 9,000, una akili sana

  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

    "NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!" Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
  6. Patandi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
  7. nyambaterito

    JamiiForums Tanzania Nini kipimo cha Akili?

    Nimejaribu kujiulizaa, hivi akili ya mtu huwa inapimwa na nini? Mpaka inafikia mtu anakuambia hauna akili wewe. Maana ukifeli mtihani unaambiwa huna akili je mtihani ndio kipimo cha akili, ukishindwa kufanya jambo fulani pia utaambiwa huna akili🤔, Kwanini? Hapa kwa upande wangu nachofahamu kuwa...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu na hawana akili

    Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁 Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya...
  9. Binti Mzalendo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugonjwa wa Afya ya Akili upo

    Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
  10. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  12. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

    Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo 1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue 2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Akili na kumbukumbu

    Kumbuka ili uweze kufanikiwa katika mambo yote kwenye maisha yako, yaani; Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa, Kiutamaduni, Kiteknolojia, Kiafya, Kidini na Kielimu kwa namna yoyote ile lazima uwe na KUMBUKUMBU na AKILI timamu. Mtu asiye na akili timamu wala kumbukumbu ni mfu anayeishi, hawezi kuona...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mliokosa nafasi zoezi la Sensa 2022 msipotoshe. Tuliopata nafasi tuna sifa na vigezo. Hata kuwa na connection ni akili

    Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo. Kwa miaka...
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

    Wasalaam, Kama una akili chakata hili. Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa. Gone are the days where...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tayari wameanza kutembelea nyota ya Mandonga. Sikiliza wimbo wa Mandonga " acapella"

    Wewe muimbaji mimi sikujui and am sure as hell a millions of Tanzanians do not know you but we are listening to you because you are talking about Mandonga.
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Dini zinavyoharibu watu akili

    Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

    Habari wadau. Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm. Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo. Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mnaosema mtoto hurithi akili kutoka kwa mama njooni

    Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ). Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki...
  20. Simba Mkali

    JamiiForums Tanzania Akili za Manara zimeishia hapa

    PRINCE JOKES SIJUI nani alimdanganya akaibuka na kumzodoa Rais wa TFF, Wallace Karia mara baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Najua ulimsikia Haji Sunday Manara alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Kama ulimsikia...
Back
Top Bottom