Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,681
109,092
Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid....

Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi?

Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge....

Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla ya Tukio / Tamasha lile tulikuwa nae MC Mwenzetu wa Kigogo Sambusa Haji Manara katika Maandalizi yote yale hivyo hatukushangaa hata alipokuja japo naona kama vile TFF Wamekurupuka kuwaita Yeye ( Manara ) na Injinia Hersi kwani Sisi MC's Watatu Kitenge, Zembwela na Dakota tulifurahi pia Kujumuika na MC Mwenzetu wa Mtaa na Kigogo Sambusa Haji.

Taarifa: EFM Radio Sports Headquarters Asubuhi hii.

Haya wale Msio na Akili ( wenye Akili fupi ) karibuni tena muendelee Kuutetea Upuuzi wa Haji Manara, alichokifanya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na ilichokifanya pia Klabu ya Yanga kama Taasisi iliyo chini ya Mwamvuli wa Mama ( Mzazi ) TFF.
 
Je Haji anakosa au hana??!! Tuanzie hapo
 
Acha Upumbavu huyo manara mbona mnamuwaza Kama kawapa Mimba vil
Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid....

Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi?

Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge....

Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla ya Tukio / Tamasha lile tulikuwa nae MC Mwenzetu wa Kigogo Sambusa Haji Manara katika Maandalizi yote yale hivyo hatukushangaa hata alipokuja japo naona kama vile TFF Wamekurupuka kuwaita Yeye ( Manara ) na Injinia Hersi kwani Sisi MC's Watatu Kitenge, Zembwela na Dakota tulifurahi pia Kujumuika na MC Mwenzetu wa Mtaa na Kigogo Sambusa Haji.

Taarifa: EFM Radio Sports Headquarters Asubuhi hii.

Haya wale Msio na Akili ( wenye Akili fupi ) karibuni tena muendelee Kuutetea Upuuzi wa Haji Manara, alichokifanya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na ilichokifanya pia Klabu ya Yanga kama Taasisi iliyo chini ya Mwamvuli wa Mama ( Mzazi ) TFF.
vile
 
Back
Top Bottom