akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

    Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema. Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa...
  2. "Vijana taifa la kesho" ilivyoharibu akili za vijana..

    Habari zenu.. Ule msemo wa vijana taifa la kesho ulivyopelekea taifa kuwa na umasikini wa kutupwa.. Ebu fikiria ndugu yangu asilia kubwa ya watu hapa tanzania ni vijana,kwanzia miaka 15-45 then taifa linasema vijana ni taifa la kesho daah tulikuwa na viongozi wa ovyo sana. Huwa najiulizaga...
  3. Wawe wanachaguliwa Wabunge wenye akili. Kuna Wabunge ukiwasikiliza unapata picha wananchi wao wakoje

    Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe. Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
  4. Prigozin wa Wagner anavyowachezea akili Ukraine

    Kiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake. Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa ikitafuta kila njia kuwagombanisha warusi ili ipate kusonga mbele. Kwa njia hiyo wamekuwa wakitumia maneno...
  5. Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

    'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini? Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
  6. Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  7. Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  8. C

    SoC03 Madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili

    Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara kadhaa kwa afya ya akili ya watumiaji wake. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo. Kuathiri kujiamini...
  9. R

    Hisia na tumbo vinapoitawala akili ni hatari sana kwa Taifa

    Habari wana JF Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri. 1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya...
  10. Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  11. Utafiti: Madhara ya Upweke ni sawa na Kuvuta Sigara 15 kwa siku

    Utafiti uliofanywa na Ofisi ya Mkuu wa Upasuaji kutoka Idara ya Afya na Huduma za Binadamu ya Marekani umeonesha kuwa watu wanaoshi kwa Kujitenga au kukaa kwa Upweke unaotakana na kukosa Furaha wako hatarini kufikia uamuzi wa kujiua kwa 29%. Imeelezwa kuwa kutojichanganya na watu wengine katika...
  12. Huyu chawa yeye alimkabidhi nani akili?

    Kuna wakati aliwaambia mashabiki wa Yanga kwamba kati ya wingi wao wenye akili ni wawili tu. Baba yake na Rais Kikwete. Muulizeni baada ya kuhamia Yanga yeye akili zake alimkabidhi nani
  13. Watu wanaoishi karibu na minara ya simu wengi wao hawana Akili?

    Naomba mnisaidie hii kitu maana nimekuwa wakubwa eti kuna ukweli wowote?
  14. Akili kubwa: The Israeli plan to fit a fusion reactor into a container

    From the outside it looks like an ordinary warehouse. But inside this unassuming building, in Hod Hasharon central Israel, is one of the most ambitious energy projects in the Middle East, Researchers at NT-Tao have joined an elite group of around 35 private start-ups that are trying to build a...
  15. Inakuaje watu mnaoaminika kuwa na akili nyingi mnaingizwa chaka na manabii fake?

    Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana. Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
  16. Kwenye hii nchi ukiwa na Akili timamu utakufa na Ugonjwa wa Moyo.

    Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote. Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi. Mfano mzuri...
  17. Wenye akili hili tumelijua Kitambo tu, ila tunataka kusikia nyie kama MCT mmelitatua vipi

    "Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi" "Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...
  18. Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  19. M

    Tuwaandae Kisaikolojia wachezaji wa Simba: Ugeuzeni uwanja wa Wydad katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa

    Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona kama wako kwenye dimba la Kwa Mkapa! Kama kawaida, Kwa Mkaa hawatoki!!
  20. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyozidi kuwa wa kipekee na wa mfano wa kuigwa duniani kote

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UNAVYOZIDI KUWA WA KIPEKEE NA MFANO WA KUIGWA DUNIANI KOTE. Na Bwanku M Bwanku. Kila ifikapo Aprili 26 kila mwaka, Tanzania huadhimisha siku Maalum ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounganisha Mataifa haya mawili na kuzaa Tanzania hii ya leo. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…