Mpenzi nimekuwa Kaka, kuweni nao kwa akili

Termux

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
406
980
Habari JF,

Juzi nmekutana na kitu kizito kwa mchepuko. Baada ya kuniomba a download whatsapp GB katika simu yangu na kuanza kuchati baadae alipotoka akaniachia simu yangu bila kufuta. Ikaingia txt na nikasema nifungue nikakutana na kitu kizito.

Screenshot_20231208-020958.png
Screenshot_20231208-021019.png
Screenshot_20231208-021034.png

Screenshot_20231208-021045.png

Screenshot_20231208-021051.png


UPDATES CHAT :

Screenshot_20231208-021059.png
Screenshot_20231208-021108.png
Screenshot_20231208-021114.png
Screenshot_20231208-021125.png
Screenshot_20231208-021137.png
Screenshot_20231208-021144.png
Screenshot_20231208-021152.png
20231210_151017.png


Tunaendelea:

Baada ya mchepuko kumpigia au jamaa kumpigia simu mchepuko, mchepuko akanicheki na kuniambia eti.

Uyo mteja wangu wa mapambo namuuziaga cheni. Nikabaki nicheke tu maana mpaka jamaa ananiambia kuwa ndo wamekutana leo, mm mwenyewe nikajiongeza tu.

Maana kila nikikutana nae lazima nilale kwake weekend nzima ni mwendo wa pumbu tu.

Baadae jama kanipigia simu norma call ananiomba msamaha kuwa ajajua kama demu ana mtu. Mm nkamwambia tu vizuri ili tusaidiane majukumu maana sio mke wangu ni demu tu mchepuko. Ila ananiambia ajawai kula mzigo ila ndo alikuwa anafukuzia.

Toka ishu itoke demu kila siku ananijulia hali ikabidi leo niende nikapige mbususu yangu.

Ila mchepuko auachi ntaendelea nae kwa akili maana najua akuna cha peke yako muhimu nikitaka mzigo napata kwa wakati.

Ila mpaka sasa anakataa kuwa jamaa ajalala nae. Na mm nmemwabia sawa tu
 

Attachments

  • Screenshot_20231208-021051.png
    Screenshot_20231208-021051.png
    80.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom