akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfipa Origino

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  2. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

    Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani?? Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri! Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maafa Kariakoo: Usichangishe fedha tumia akaunti ya Serikali

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo. Jina la Akaunti National Relief Fund Namba ya Akaunti 9921159801...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gwajima alitudanganya tufungue Akaunti NMB ataweka fedha za ukarabati wa barabara

    Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe. Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kila couple au family inatakiwa iwe na akaunti nne za benki

    1. Akaunti ambayo itatumika kulipia bills. Hii akaunti mnakubaliana muwe mnaweka kiasi gani kwa mwezi kila mmoja. 2. Saving akaunti. Hii ni ya pesa zenu za saving ambapo itatakiwa kusainiwa na wote wawili ili pesa zitoke. 3. Akaunti ya mume. Hiyo yako, tumia pesa uwezavyo. Kula maisha. 4...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Benki gani naweza kufungua akaunti na kupata kadi siku hiyohiyo?

    Habari wakuu. Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu benki ambayo unaweza kufungua akaunti na ukapewa kadi ya Master au Visa siku hiyo hiyo naomba...
  10. Sina Ndugu

    JamiiForums Tanzania Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  11. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

    Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
  12. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni akaunti rasmi ya Mtandao wa X ya Mbunge wa Kisesa Joelson Luhaga Mpina

    Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter. Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

    Habari wakuu, Hivi hapa kutakua na shida gani. Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi. Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
  14. Uncle Mabiki

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka pesa ipo akaunti ya mahakama

    Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia kwenye hizo akaunti za warithi Swali? Je inachukua muda gani mpaka mahakama kuingiza hizo pesa kwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Facebook Yafuta Akaunti 63,000 Nigeria Zinazojihusisha na Utapeli wa Kingono

    Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia kuvujisha picha zao za utupu. Pia, imefuta akaunti za matapeli wa mtandaoni wanaojiita "Yahoo Boys" na...
  16. Geok

    JamiiForums Tanzania Hii wiki kumekuwa na mfululizo wa akaunti za X (zamani Twitter) kuwa suspended

    Habari zenu wakuu, ni siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwakua tumeamka salama na tunaendelea na mapambano ya maisha. Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, asee wakuu tokea juzi nilikuwa napitapita mtandao wa kijamii wa X (zamani twitter) kwenye timeline yangu nilikuwa naona post za jamaa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii nakubaliana nayo 100% kwani nilipokuwa siweki / sina hata 10,000Tsh katika Akaunti nilikuwa Silali kama Mlinzi, ila sasa naweka Nalala kama Pono

    Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia. - Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya ya akili, watafiti katika Chuo Kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema. - Watu wa kipato cha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudisha akaunti yangu ya Facebook

    Jamani habari za leo, Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password! Natanguliza shukurani!
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

    Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo. Nikasema niende...
  20. N

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Back
Top Bottom