Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,881
- 5,668
1. Akaunti ambayo itatumika kulipia bills. Hii akaunti mnakubaliana muwe mnaweka kiasi gani kwa mwezi kila mmoja.
2. Saving akaunti. Hii ni ya pesa zenu za saving ambapo itatakiwa kusainiwa na wote wawili ili pesa zitoke.
3. Akaunti ya mume. Hiyo yako, tumia pesa uwezavyo. Kula maisha.
4. Akaunti ya mke. Hiyo ni yako, kula bata uwezavyo.
Wakati mnakula bata, bills zinalipwa, saving inafanyika.
Ndoa za hivi zinadumu mpaka kifo kwa miaka ya sasa.