akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Je, unalinda akaunti zako mtandaoni kwa usalama wa kutosha?

    Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka. Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification). Hii...
  2. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki

    Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
  3. 888I

    JamiiForums Tanzania Hivi unakuzaje akaunti za Social media na kuwa na followers wengi

    Habari za muda huu Mjumbe 😂 Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza tu kwa vitendo zaidi wajumbe uwanja ni wenu karibuni kwa maoni....
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabenki yachaji akaunti isiyokuwa na hela?

    Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela. Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
  6. Area 56

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwisho wa mwezi, akaunti yako inasoma sh. ngapi?

    Wakubwa wa jukwaa kwema? Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary. Vipi leo akaunti yako inasomaje?
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

    Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

    Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kublokiwa na akaunti ya kiongozi yupi Mtandaoni?

    Wakuu! Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini? Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments! Viongozi wakumbuke watu hawafanani na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama akaunti za serikali zimedukuliwa, Je sisi raia akaunti zetu zipo salama?

    Nimefika mitaa fulani , nisipataje Kuna habari zikawa zinazungumzwa kijiwe cha fundi viatu mmoja maarufu. Kuwa akaunti nyeti za serikali ya Tanzania zilidukuliwa. Je sisi raia?
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yajibu akaunti kudukuliwa jana, wasema mifumo iko salama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema kuwa baadhi ya akaunti za mitandao ya kijamii za taasisi za Serikali zilidukuliwa kutokana na udhaifu wa taratibu za kiusalama katika usimamizi wa akaunti hizo. Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumatano Mei 21, 2025, Waziri...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

    WITO WA KUSHIRIKI KESI YA MH. TUNDU LISSU, JAMII KUFUATILIA MJADALA WA BUNGE LA ULAYA, NA TAARIFA YA UDUKUZI WA AKAUNTI ZA CHAMA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu Watanzania na jamii ya kimataifa juu ya matukio matatu makubwa yenye athari kwa demokrasia na haki...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Samia akaunti tuliyowekeza CRDB

    Niliwekeza kwenye Samia Account kupitia CRDB na masharti yalikuwa ni kupata asilimia 30 kila baada ya miezi mitatu. Jana nimeenda kuangalia salio langu kama kweli wameniwekea hiyo asilimia 30 ya fedha yangu niliyowekeza lakini sijaona nyongeza yeyote. Kulikoni?.
  17. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua akaunti kwa ajili ya kudownload games za ps4

    Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
  18. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba yake ilipotea

    Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea. Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
  19. A.MTALE

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sababu za Akaunti ya Bank Kuzuiliwa?

    Habari wakuu!! Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa. Ukijaribu ujumbe unakuwa "Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii" Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo. Sasa mimi ni miaka mingi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TCRA: Akaunti za Pesa Mtandao zafikia milioni 63.2. Miamala 3,737,202,434 yafanyika kwa mwaka 2024

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na TCRA, Desemba 2024, idadi ya akaunti za pesa mtandao ambazo zilitumika angalau mara moja katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita iliongezeka kutoka akaunti milioni 60.8 katika robo ya mwaka iliyoishia Septemba 2024 hadi milioni 63.2...
Back
Top Bottom