akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Unahitaji akaunti ya Google Adsense, nitafute

    Kama unahitaji kuanzisha Blogu/Wordpress mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na nitakusaidia kusajili jina la blogu na Domain Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. Nipigie WhatsApp/sms/call +255 670929424
  2. L

    JamiiForums Tanzania Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada akaunti ya bolt kufungiwa

    Habarin wana JF Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu. Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa inafanya shughuli za bolt kwa ajiri ya kujipatia kipato Basi Kuna kijan nikamuachia pikpk aendelee...
  4. JamiiForums Tanzania Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

    Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯. Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake. Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  6. JamiiForums Tanzania AKAUNTI YA TIKTOK INAUZWA

    Habari zenu ndg zang wa JF nauza akaunti ya Tiktok ina 80.1k followers na 411.2k likes,,bei ni 150k tu ....kwa mawasiliano 0634362673
  7. JamiiForums Tanzania Chief Godlove akimbia na akaunti za msanii wake

    Msanii wa rap Bongo, Scorpion (Tgun Tozzy) ameeleza malalamiko yake akidai kuwa Chief Godlove amekimbia na chaneli yake ya YouTube huku akikataa kumpa mkataba wa lebo kama walivyokubaliana!. "Barua ya wazi kwa tajiri Chief Godlove. Nimeamua kutumia njia hii kukufikishia ujumbe huu kwani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu zaidi kuhusu kufungiwa akaunti za nje za viongozi

    Kwamba kabla hawajafungiwa akaunti zao za nje je,hawawezi kuzichepusha ili zisifungiwe hususani kipindi hiki wakati mchakato wa utekelezaji wake unasubiriwa?
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Fedha za miradi zilipwe kwenye akaunti zilizopo nchini

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi wa Karatu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
  16. JamiiForums Tanzania Akaunti za watu watata zilizopigwa life ban

    Hawa jamaa walikuwa wanatema madini sana hata ukipitia michango yao linajidhihirisha hilo greybakuza Uguswelana Mpendakukimbiakimbia Misrecodius vulutus Naby Keita Tanganian
  17. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Akaunti ya DAUDI T BALALI pale X ni Mwanamtandao, Alihusika Kumteka BALOZI POLEPOLE , Leo katwt Samia ANASHINDA 83%

    Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM. Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole . Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Misime: Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki tutawatambua tu

    “Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo. “Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.” Hiyo ni kauli ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

    Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB. Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea. Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
  20. JamiiForums Tanzania Je, unalinda akaunti zako mtandaoni kwa usalama wa kutosha?

    Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka. Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification). Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…