Ajira portal hawajamuita mtu interview kimakosa afanyeje

Ajira portal hawajamuita mtu interview kimakosa afanyeje

Copro mtego

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
641
Reaction score
840
Habari wanajukwaa
Kuna mtu aliomba kazi kupitia ajira portal muda wa kuita interview hajawa shortlisted na sababu ni hajaambatanisha registration certificate ambapo yeye ali attach
Afanyeje ili aweze kusaidika na interview ni ijumaa ya wiki hii
Msaada wanajukwaa
 
As long as hawkumuita kupitia ajira portal personal account, hakuna namna ni kusubiri next call! 15th April , coming Wednesday ndiyo interview. Angalijua angeliwasiliana na Mamlaka za ajira portal wakarekebisha na kumtumia call for oral interview. Too late now!
Ajaribu labda kuwapigia simu leo leo!
 
Hiyo ndio umetoka ,mfumo ukishatema ,hakuna Tena msaada

Hapo asubiri nafasi nyingine
 
Nenda Dodoma.
Au kama kuna mtu yupo Dodoma muagize.
Mpe taarifa zako zote.
Kisha yeye akuulizie. Simple.
 
Apige simu mida ya kazi, Hua wanatoaga second round ya majina kwa ajili ya watu kama hao
 
Back
Top Bottom