ajira

  1. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Habari za wakati huu wana jamvi, Billa kupoteza wakati Kuna kitu jana nimekishuhudia nikabaki kinywa wazi. Kuhusu hizi nafasi ambazo serikali imekuwa ikitangaza hivi karibuni Katika halmashauri na wilaya mbali mbali nchini kuhusu kazi ya kukusanya na kuweka vibao vya ANWANI ZA MAKAZI. Jambo la...
  2. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina elimu ya kidato cha nne

    Ha
  3. Tembele

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya ajira DSM - Tegeta

  4. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha rangi Billion Paints kinanyanyasa wafanyakazi, mpaka sasa hakuna mfanyakazi mwenye mkataba

    Wana JF, Nijambo la kusikitisha sana kuona kiwanda cha mzalendo kilichojizolea sifa kemikemi kufanya hujuma na kufanya unyanyasaji wa wafanyakazi kwa kiwango chajuu. Mpaka sasa hakuna mfanyakazi anaijua kesho yake maana mwenye kiwanda anakuwa kana ana kichaa. Hadi kuna wakati anamfukuza hadi...
  5. Lager

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira za sensa Mwanza zishatoka au nimechelewa?

    Msaada wakuu kuhusu kichwa cha habari au mpaka uwe na connection? Na Kama bado zipo una apply vipi?
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Februari 20: Siku ya Kimataifa ya Haki za Kijamii (Social Justice Day)

    Haki ya Kijamii Humaanisha uwepo wa Haki sawa kwa watu wote na uwezekano wa kila mtu, bila ubaguzi, kufaidika na Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Duniani kote Ni mtazamo kwamba kila Mtu anastahili Haki na Fursa sawa. Baadhi ya Haki za Kijamii ni pamoja na kushiriki Uchaguzi, Usawa wa Fursa za...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu 2022

    Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu watakaopewa vipaumbele ili kijana anayeishi kijijini asisumbuke kwenda mjini kuhangaikia application na...
  8. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ajira 7,000 kwa Walimu shule za msingi na Sekondari

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini. Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ajira zenye mishahara mikubwa kama milioni 7 na kuendelea huwa hazitangazwi

    Kazi zenye mishahara mikubwa huwa hazitangazwi, Kwa utafiti wangu binafsi, nimekuja kugundua kazi nyingi zinazotangazwa kwenye mitandao mbalimbali, magazeti n.k, nyingi huwa ni zile zenye mishahara ya milioni tatu, laki tano n.k kushuka chini. Zile zenye mishahara minono, kama milioni 7, 10...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Biden aweka record ya ajira 6.6 milioni ndani ya mwaka 1

    Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani. Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyekataa ofa ya $5000 toka kwa Elon Musk apata ofa ya ajira

    Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics kampuni hiyo imeamua kumpatia kijana Sweeney ajira kutokana na uelewa wake wa masuala ya flight data hata hivyo mpaka...
  14. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Wimbo mmoja tu wa "Kajenga Madarasa", hakuna kingine kikubwa zaidi?

    Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote alioanzisha Mama umegharimu zaidi ya Trilioni 1.3? Tunasahau kuwa kuna watu walijenga shule za kata...
  17. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Kati ya vijana milioni (1)wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni vijana 200,000 wanaopata ajira rasmi , huku 800,000 wakibaki bila ajira rasmi

    Tanzania ni nchi yenye idadi ya watu ambayo ni vijana: asilimia 75 ya idadi kubwa ya watu iko chini ya umri wa miaka 35. Inakadiriwa kuwa kati ya vijana milioni moja (1) wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni vijana 200,000 ndiyo wanaofanikiwa kupata ajira wakati huo huo, na waliobaki...
  18. dubu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  19. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  20. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa achana na siasa za Tanzania. Je, wajua Tanzania siasa ni ajira?

    Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle) Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae...
Back
Top Bottom