ajira

  1. J

    Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
  2. I

    Vijana 60,000 wanapowania nafasi 1,000 za ajira

    Nina imani hao niwachache tu waliojitokeza kwani bado huku mitaani tumebaki wengi ambao hatuku apply nafasi hizo za TRA,hii ni hatari!ajira sasa ni kama bomu la nyuklia Hapa cha kushauriKwanza, serikali kupitia Wizara za kazi,fedha na ofisi ya waziri mkuu kuangalia namna ya kutengeneza ajira...
  3. Ajira sio ngumu ila watu wanafanya ajira ziwe ngumu

    Sikatai kuna tatizo la ajira lakini ukirudi nyuma tatizo la ajira linakuja kwa upande fulani watu kufanya ajira kukosekana kwa mambo haya. Mchango mkubwa ajira hupo kwenye sekta binafsi na watu binafsi. Hizi sehemu sio kwamba zinashindwa kupanua wigo mkubwa ajira bali ni kutokana na changamoto...
  4. N

    Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  5. G

    Ukosefu wa ajira kwa vijana: Watoto wote wa viongozi wana ajira

    Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
  6. J

    Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  7. Ajira ngumu

    Kwa masikitiko makubwa kwa vijana wanaosoma na wazazi kusomesha. Jana nimeshuhudia wimbi kubwa la Majobless wa Leo na baadae. Ni baada ya kuhudhuria usaili wa kazi za kukusanya taarifa za makazi na postikodi. Nafasi zilikuwa 415 tu kwa Manispaa ya Morogoro ila idadi ya waombaji ni 5500 hivi...
  8. GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira? Labda niunganishe na wale...
  9. Mapendekezo: Ajira kwenye Utumishi wa Umma iwe kwa MKATABA

    TUNA TATIZO KUBWA LA HUDUMA DUNI KWENYE TAASISI ZETU ZA UMMA/SERIKALI...KIINI CHA TATIZO NI MFUMO WA AJIRA ZA SO CALLED "PERMANENT AND PENSIONABLE" Nafahamu Taasisi mbalimbali za serikali zina targets lakini hali haiko hivyo kwa watumishi wao ambao target yao ni kuishi kazini hadi kustaafu...
  10. B

    Rais Samia arejea kutoka Dubai na makubaliano 36 yaliyobeba trilioni 17.1 zenye ajira 204,575

    Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28, 2022 alirejea nchini kutoka kwenye ziara hiyo ambayo pamoja na mambo mengine alishiriki matukio mawili...
  11. M

    Nchi yetu ina wakosoaji wengi na wasifiaji wengi mitandaoni kutokana na ukosefu wa ajira

    Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu janja,wao Kila siku ni kuisema Vibaya Serikali na wengine ndio waimba mapambio Kwa wingi pia,Ila Chanzo Cha...
  12. K

    Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Habari za wakati huu wana jamvi, Billa kupoteza wakati Kuna kitu jana nimekishuhudia nikabaki kinywa wazi. Kuhusu hizi nafasi ambazo serikali imekuwa ikitangaza hivi karibuni Katika halmashauri na wilaya mbali mbali nchini kuhusu kazi ya kukusanya na kuweka vibao vya ANWANI ZA MAKAZI. Jambo la...
  13. Natafuta ajira, nina elimu ya kidato cha nne

    Ha
  14. Nafasi ya ajira DSM - Tegeta

  15. Kiwanda cha rangi Billion Paints kinanyanyasa wafanyakazi, mpaka sasa hakuna mfanyakazi mwenye mkataba

    Wana JF, Nijambo la kusikitisha sana kuona kiwanda cha mzalendo kilichojizolea sifa kemikemi kufanya hujuma na kufanya unyanyasaji wa wafanyakazi kwa kiwango chajuu. Mpaka sasa hakuna mfanyakazi anaijua kesho yake maana mwenye kiwanda anakuwa kana ana kichaa. Hadi kuna wakati anamfukuza hadi...
  16. Hizi ajira za sensa Mwanza zishatoka au nimechelewa?

    Msaada wakuu kuhusu kichwa cha habari au mpaka uwe na connection? Na Kama bado zipo una apply vipi?
  17. Februari 20: Siku ya Kimataifa ya Haki za Kijamii (Social Justice Day)

    Haki ya Kijamii Humaanisha uwepo wa Haki sawa kwa watu wote na uwezekano wa kila mtu, bila ubaguzi, kufaidika na Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Duniani kote Ni mtazamo kwamba kila Mtu anastahili Haki na Fursa sawa. Baadhi ya Haki za Kijamii ni pamoja na kushiriki Uchaguzi, Usawa wa Fursa za...
  18. A

    Ajira mpya za walimu 2022

    Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu watakaopewa vipaumbele ili kijana anayeishi kijijini asisumbuke kwenda mjini kuhangaikia application na...
  19. Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  20. Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…