ajira

  1. JamiiForums Tanzania SIKU YA VIJANA 2022: Rais Samia na suala la Ajira kwa Vijana

    Na Kevin Lameck Siku ya Kimataifa ya Vijana inaadhimishwa leo na kila mwaka tarehe 12 Agosti, ikileta maswala ya vijana kwa jamii ya kimataifa na kusherehekea uwezo wa vijana kama washirika katika jamii ya leo. Vijana ni kundi muhimu katika taifa lolote lile duniani. Hii ni kutokana na ukweli...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  3. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

    MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
  4. JamiiForums Tanzania Utumishi mko wapi nane nane?.

    Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa ajira katika Taasisi Binafsi za Afya na za Serikali

    Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara na Afisa Tabibu Meno. Mifumo ya elimu kwa ajili ya kumuandaa mtu wa kusomea taaluma...
  6. D

    JamiiForums Tanzania PSRS mbona wamekuwa wakichukua muda mrefu mchakato wa ajira?

    PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mshahara wa Mhandisi daraja la pili (engineer II) Wizara ya Ujenzi

    Anaefahamu Mshahara wa mhandisi daraja la pili (engineer ii) wizara ya ujenzi
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa ajira nchini ubadilishwe

    MFUMO WA AJIRA NCHINI UBADILISHWE Wakati ni sasa wa serikali pamoja na sekta binafsi kuja na mbinu au mkakati mpya wa ajira na kuajiri nchini. Sote tunajua hivi sasa kuna malalamiko mengi kwa wananchi walio wengi kukosa ajira pamoja na kwamba elimu na sifa zote za kuweza kuitumikia nchi yao...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Mikataba ya ajira katika sekta binafsi

    UTANGULIZI Kama tujuavyo sekta binafsi imekuwa na mchango katika ukuzaji wa uchumi wa nchi yetu, lakini mbali na hilo ni mdau mkubwa sana wa utoaji wa ajira nchini hususani kwa kipindi hiki ambacho nchi yetu imekumbwa na kadhia kubwa ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu na vijana kwa ujumla. Hivyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
  12. JamiiForums Tanzania Nafikiri serikali ije na mpango mkakati kwa kutengeneza ajira mpya

    Pamoja na kuwa Mama sio muongeaji sana ila Ukweli ipo miradi mingi inayoendelea kwa sasa na mingine mingi inaenda kimya kimya (inatia moyo) Hata hivyo kutokana na janga kubwa la ajira; Nafikiri ipo haja ya serikali kuja na mpango mkakati wa kutengeneza ajira mpya kwa wingi kwani huku mtaani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na changamoto za ajira

    VIJANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA ✔️Kipindi Cha hivi karibuni kumekua na kasumba ya waajili wengi kutaka waombaji (vijana) kuwa na uzoefu usiopungua miaka mitatu. ✔️Leo nataka nizungumzie hili swala kwa uchungu Sana, maana imekua ngumu Sana kupata ajira kwa kijana alietoka moja kwa moja chuo...
  14. JamiiForums Tanzania Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    ALERT 🚨 🚨 🚨 Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa.. amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina...
  15. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa ajira upoje ngazi ya diploma?

    Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa kulipa mishahara waajiriwa wapya wa Serikali kwa kila mwaka wa ajira unahitaji kuboreshwa uendane na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu bila ajira

    ELIMU BILA AJIRA Tanzania yetu ni nchi ambayo inawafanya wanafunzi kuwa na fikra ya ajira hivyo unakuta asilimia kubwa ya wanafunzi wa tanzania wanategemea ajira kitu ambacho kwa upande mwingine ni kazi sana kuajiri wasomi wote na mwisho wa siku wanaopata ajira ni wasomi wachache sana na wengine...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je ni kozi zisizokuwa hazikosi ajira?

    Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za afya

    Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
  20. JamiiForums Tanzania Ajira bomba la mafuta zaanza kutangazwa

    Zile ajira takribani 10,000 ambazo Watanzania waliahidiwa kunufaika nazo katika ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda handi Chongoleani Tanga zimeanza kutangazwa. Kupitia gazeti la Mwananchi toleo namba 0856-7573 la Jumatatu, 26/07/2022 ajira 87 za moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…