Hali ya mtaani unaionaje kwasasa!? Za kuambiwa changanya na zako Yakhee!Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
Ahsante Sana kwa ushauri mkuuHata afya wanakosa mpaka ma MD wapo waliokosa mpaka private wamebaki kuwa kama wajinga tu
Ila uzuri wa elimu na afya ajira zinakuwa zinatoka toka hivyo kidogo inatia hamasa hata kama hupati ila unajua one day yes
Ila nakushauri soma nursing hapa ajira nje nje mpaka nje ya nchi unapiga kazi tu,manurse hawajawahi kutosha kwenye dunia hii
Nenda kasome kwanza halafu punguza matarajio ya ukimaliza tu chuo, unaajiiwa paaapNimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
Huwazi kujiajiriNimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)