Ajira za afya

Ali Hemed

Member
Jul 9, 2021
21
13
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
 
HAKUNA
 
Jaribu doctor of dental surgery japo na yenyewe sio 100%
 
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
Point 8 unautaka udaktari?
Wa ng'ombe au wanyama pori?
Muhimbili wakikubeba saana una point 5 na hiyo ni reserve list.
 
Back
Top Bottom